Very innovative work and sexy....voda na airtel jibuni mapigo.....
Mie jana nimepewa gawio la Tsh:5,000
m-power ni benki; hii unapewa profit ya Tigo, je voda wanatoa hivyoooo
Uliza watu kibao, wamepata mahela kwa kuweka tuu,
Kama kitu ni kizuri unaiga na unakiimarisha zaidi
Nani kasema kuiga ni dhambi, ukiona jambo zuri si budi kuiga, ila wamebadili maantiki kabisaaaaaa, ndio ushindani huo
Naomba nielewe kidogo, mfano ukiwekeza laki moja,roughfly gawio ni shs ngapi na unapata baada ya muda gani.......wekeza ni promo ya
kushare profit ya tigo na wateja wake, kwa hio average kwa kile
unachokiweka ktk account yako ndio unapewa
baada ya hapo watapiga average tena baadaya miezi mitatu na kupewa tena
Tuma neno WEKEZA kwenda 15514
Very innovative work and sexy....voda na airtel jibuni mapigo.
Mi wamenipa 10,000
Nitoe 5000