tangazo la vodacom lenye vionjo vya kihaya

tangazo la vodacom lenye vionjo vya kihaya

Architect E.M

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
1,240
Reaction score
1,478
wadau habari za saa hizi... Jamani kuna hili tangazo la vodacom la sasa kwenye redio nyingi, lina mtu anaongea kwa vionjo vya kihaya, kwakweli ananivutia saaana,,,mwishoni tangazo linaishia ''kwaniii duka roote shiringi ngapii??'',, nadhani wengi wenu mnalijua,,, nimejaribu kulitafuta utube sjalipata,, kuna mdau yoyote anaweza kuliweka hapa au kutupa link yake,,, shukrani wakuu
 
Bonge ya tangazo...Pia lile la "nimeshindaaa....nimeshinda mke wanguuu.......
 
Kuna wauza matunda fulani wa kihindi, ukitaka kununua matunda yote kwenye genge lake lazima akukatalie.

Inakuwa kama unamuondolea utu wake/ kazi yake ya kuhudumia jamii kwa kununua matunda yote kwa mpigo.

Hivyo akiulizwa hilo swali la "kwani duka roote shilingi ngapi" swali linageuka kama tusi hivi, ingawa kuuza jumla kuna make sense businesswise.
 
VP na lile la lete kama tulivyo bili yote nitalipa mm na wapi mutu ya jikoni agiza unachopenda kula nitalipa mimi.....ili lipo kwa lugha ya kikongo
 
VP na lile la lete kama tulivyo bili yote nitalipa mm na wapi mutu ya jikoni agiza unachopenda kula nitalipa mimi.....ili lipo kwa lugha ya kikongo

hahahaha,,, hili nalo linatisha mkuu.,, la ukweli saana yani, saana
 
Mie nina kipande kidogo cha mwanzoni na mwishoni bahati mbaya sijafanikiwa kulipata lote ila naendelea kulivizia nilipate lote! Actually mie nawapenda sana wahaya majigambo yao na ndio kitu kilinifanya niwafahamu na kuwaangalia Ze Comedy enzi zile Mpoki akiwaigiza!
 
Attachments

kuna lile pia la zantel la chaliii na bebi wa kizungu......!!!!
 
Mie nina kipande kidogo cha mwanzoni na mwishoni bahati mbaya sijafanikiwa kulipata lote ila naendelea kulivizia nilipate lote! Actually mie nawapenda sana wahaya majigambo yao na ndio kitu kilinifanya niwafahamu na kuwaangalia Ze Comedy enzi zile Mpoki akiwaigiza!

mkuu shukrani saaaaaannnnaaaa,,,,, yani nikisikiliza hili tangazo ni burudani kwangu,,,, mpoki nae alikua anaua balaa
 
Nattaka suti za guggi kama za Rweiyonngezaaa na shaati za chuichui kama ya Rweiyemaamu na mikanda ya chumachumaa, hapana bbado sijamariizaa, kwani liduka rootee hili shiringi nngaapiii!
 
Vipi kuhusu ule mziki wa Tangazo la Salama? Kama nikiambiwa nichague mziki kwenye kipindi flani basi ntachagua huo. Kinga imaraaaaaaaaaaaaa aaaah aaah, dawa ya.......
 
Wahaya wapo juu in short,,au niache kureply alafu ninunue li jamii forum lote....
 
na lile la mkongo man je.....mim naitwaga Mududu,mutu pekee naishi kwenye chumba yenye choo ndani!ha ha ha
 
Back
Top Bottom