chishango
JF-Expert Member
- Feb 20, 2009
- 852
- 350
Wadau katika kinachoonekana ni uchovu, ukatili na ufedhuli wa serikali ya CCM dhidi ya wananchi wake wakiwamo wafanyakazi wa serikali matangazo yametolewa katika halmashauri mbalimbali kuwa mishahara ya mwezi Mei itatolewa wakati wowote kuanzia june 3.
Najiuliza hivi viongozi wa serikali hii wana akili kweli....?
Mishahara yenyewe ni midogo ambayo haikidhi mahitaji ya watu leo unatangaza eti mishahara itatoka wakati wowote kuanzia tar3 ya mwezi unaofuata.
Watumishi wa umma tushikamane kuutokomeza huu ugonjwa unaoitwa CCM, 2015 sio mbali tuwahujumu tuwaondoe maana wamechoka kiakili.
Tusubiri nimeliona tangazo hili kwenye ofisi ya mkurugenzi mtendaji halmashauri ya wilaya ya Mbinga mchana wa leo.