Tangazo la serikali - mishahara ya Mei ni tar 03/ Juni

chishango

JF-Expert Member
Feb 20, 2009
852
350
Wadau katika kinachoonekana ni uchovu, ukatili na ufedhuli wa serikali ya CCM dhidi ya wananchi wake wakiwamo wafanyakazi wa serikali matangazo yametolewa katika halmashauri mbalimbali kuwa mishahara ya mwezi Mei itatolewa wakati wowote kuanzia june 3.

Najiuliza hivi viongozi wa serikali hii wana akili kweli....?

Mishahara yenyewe ni midogo ambayo haikidhi mahitaji ya watu leo unatangaza eti mishahara itatoka wakati wowote kuanzia tar3 ya mwezi unaofuata.

Watumishi wa umma tushikamane kuutokomeza huu ugonjwa unaoitwa CCM, 2015 sio mbali tuwahujumu tuwaondoe maana wamechoka kiakili.

Tusubiri nimeliona tangazo hili kwenye ofisi ya mkurugenzi mtendaji halmashauri ya wilaya ya Mbinga mchana wa leo.
 
Unajua watanzania tunafanyana hamnazo sana..hapa vijana wa ccm ndo wanaokuja kujidai wamepata mshahara ili kuitetea ccm..tuache ujinga bana..
 
Acha uchochezi watu toka tarehe 24 tunakula mishahara, wewe ni muongo sana unataka kuuaminisha uma
 
Unajua watanzania tunafanyana hamnazo sana..hapa vijana wa ccm ndo wanaokuja kujidai wamepata mshahara ili kuitetea ccm..tuache ujinga bana..

Tuanzie kwenye ruzuku za vyama tujue matumizi yake kwanza, ndio itatoa indication kwamba nje ya CCM kutakuwa na unafuu?
 
Wadau katika kinachoonekana ni uchovu, ukatili na ufedhuli wa serikali ya CCM dhidi ya wananchi wake wakiwamo wafanyakazi wa serikali matangazo yametolewa katika halmashauri mbalimbali kuwa mishahara ya mwezi mei itatolewa wakati wowote kuanzia june 3. Hivi najiuliza hivi viongozi wa serikali hii wana akili kweli....? Mishahara yenyewe ni midogo ambayo haikidhi mahitaji ya watu leo unatangaza eti mishahara itatoka wakati wowote kuanzia tar3 ya mwezi unaofuata shime watumishi wa umma tushikamane kuutokomeza huu ugonjwa unaoitwa CCM ...2015 sio mbali tuwahujumu tuwaondoe maana wamechoka kiakili....tusubiri nimeliona tangazo hili kwenye ofisi ya mkurugenzi mtendaji halmashauri ya wilaya ya mbinga mchana wa leo
nyinyi si ndio mlisema Kapt. Komba ni mbunge wa maisha jimbo la mbinga?sasa leo kelele za nini?
 
wadau katika kinachoonekana ni uchovu, ukatili na ufedhuli wa serikali ya ccm dhidi ya wananchi wake wakiwamo wafanyakazi wa serikali matangazo yametolewa katika halmashauri mbalimbali kuwa mishahara ya mwezi mei itatolewa wakati wowote kuanzia june 3. Hivi najiuliza hivi viongozi wa serikali hii wana akili kweli....? Mishahara yenyewe ni midogo ambayo haikidhi mahitaji ya watu leo unatangaza eti mishahara itatoka wakati wowote kuanzia tar3 ya mwezi unaofuata shime watumishi wa umma tushikamane kuutokomeza huu ugonjwa unaoitwa ccm ...2015 sio mbali tuwahujumu tuwaondoe maana wamechoka kiakili....tusubiri nimeliona tangazo hili kwenye ofisi ya mkurugenzi mtendaji halmashauri ya wilaya ya mbinga mchana wa leo

weka picha.
 
MIMBWA YA CCM ------- SANA MBONA MNATUFANYA WAFANYAKAZI WAJINGA? MIMI NI MWL.WILAYA YA KINONDONI HAKUNA ALIYEPATA SALARY MPAKA SASA HALAFU KUNA MAJITU HUMU YANALETA SIASA,sasa maviongozi yao yanasomba watu na malori wanawajaza kwenye mikutano kwa kuiba fedha za umma hadhina chini shetan mwigulu yanafanyia siasa kodi zetu.
 
MIMBWA YA CCM ------- SANA MBONA MNATUFANYA WAFANYAKAZI WAJINGA? MIMI NI MWL.WILAYA YA KINONDONI HAKUNA ALIYEPATA SALARY MPAKA SASA HALAFU KUNA MAJITU HUMU YANALETA SIASA,sasa maviongozi yao yanasomba watu na malori wanawajaza kwenye mikutano kwa kuiba fedha za umma hadhina chini shetan mwigulu yanafanyia siasa kodi zetu.

Mbona sisi tangu jana ki2 tayar.pole mwl wa dar
 
Back
Top Bottom