Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,170
- 6,339
Ndoa ilkuwa inafungwa kanisani; mara mchungaji akauliza waliohudhuria, "Kama kuna yeyote mwenye pingamizi la ndoa hii kufungwa aje mbele". Ghafla babu mmoja akasimama na kwenda mbele. Bibi harusi baada ya kumwona babu kasimama na kwenda mbele, akazimia. Mchungaji akamuuliza babu, "Haya mzee tuambie........". Babu akajibu, "Nimeamua kuja mbele kule nyuma nilikokuwa nimekaa sisikii vizuri"
Waumini/waliohudhuria wakajibu" Aaaaaaahh jamani Babuuuuu!!!
Waumini/waliohudhuria wakajibu" Aaaaaaahh jamani Babuuuuu!!!