Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
heheheee!!shem umetisha lolKujua idadi yao, Rozari au Tasbih ni lazima vihusike!
Nway Shem mambo?
Nisalimie Loya.
usifanye uamuzi mgumu kiasi hicho kwanini ujitoe roho yako kisa mwanamke yaani penzi ndo likupeleke jehanamu bestito? usijiue wako wengi humu mjengoni wewe chagu umtakaye halafu natangaza NIA yako wachangiaji tupo na tualike kwenye kikao mm nitakuwa KATIBU katika kikaoc hako cha harusi na nitakuwa MSEMAJI siku hiyo na kapu la utunza hazina alishike Filipo na uenyekiti mwambie my cousin charminglady anafaa zaidi hupo hapo
Unatangaza ndoa au harusi?
Shem,......... unamtambua huyu?
mko wengi ujue...... sijui nitangaze na nani kati yenu
Mmh naona leo mmeamua kuoa ngoja na mimi nitangaze ndoa!
Ila huyo mkeo mtarajiwa mbona kama ni mke wa mtu au namfananisha?
mtz one wewe utakuwa mume wa ngapi + washika pembe?
Hivi kumbe mtz one ni mwanaume lol
Haya oaneni
hivi unamjua Ben Saanane? halafu nani kakwambia Madame B anaolewa yeye ni pesa yako unajilia halafu unalala mbele
jiulize kwanza mko wangapi?
nimenyosha mikono juu naona hujaniona mkuu
naomba mwongozo wako mkuuu
japo niseme ya moyoni mwangu kwanini mm namfahamu Madame B ana mume wake Chimbuvu na alishaachana na Ben Saanane sasa sijui kwanini ndoa hii imepitishwa na kupewa kibali cha inspecta Baba V ?
Hahaha kuna kitu alinifanyia sitamsahau
akiupindisha huo mstari sijui itakuaje
Haha baada ya ndoa ntakuwa na nguvu ya kukamata binduki
idadi inaongezeka
hivi wamefika wangapi sasa hivi!!
maskini Ben Saanane, Chimbuvu tedo, Chilli, @........, @...........
@.........., @..............!!!!!!ndoa mseto
Madame B mimi hapa,........madam b yupi?
Nina pingamizi... Mwanamke ni mkubwa kuliko mwanaume
Ukisikia ndoto za alfulela ulela ndo hizi!
Nshapendwa mwenzio full kupagatwa
We ulijua dem? Mkuu ndo mana ulinishambulia?
jiulize kwanza mko wangapi?
Tupo milioni 44 point sijui ngapi?
Ndio kwanza namuona...hivi kumbe hata hamjuani??
nitangaze mie kwanza hao wengine nitaona kama uwatangaze.
Jamani mbona mwaniharibia tena Lady doctor?
............:shock::shock::shock:.........
Dah!!!!!!!!!
Haya Bhana!!!!!! saudari, niharibie tu.
Ni mwanaume tena Rijari.
Acha wenge nitonye, we mwenyewe unanitaka.
Tuko 8 tu Shoga,.......Mitala tamu.
Dada ladyfurahia, hata nawe waiponga ndoa yangu?
.................:A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss:..........
Hahahaahaaaa............. Tutaenda sawa tu, Mpaka kieleweke Shoga.
Bunduki ipi sasa, Original or Fake?
Mke mwenza X, mume nimekuachia lakini bado wanitakiani,..... Mweeee
Ntamrudisha my X kwangu.
Madame B mimi hapa,........
Utakuwa matron wangu siku ya harusi yangu Smile.
.....Una kadi langu la Clinic Ngalikihinja?
au nawe wanivizia?
..........Ndo ushanikosa hivoooooooooo.
Na wewe usijishaue,.........
Utaachika kabla hata hatujafunga ndoa mtz one.
madame B unataka ufungue danguro la wanaume?