Tangazo la Ndoa!!

Tangazo la Ndoa!!

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,445
Reaction score
8,418
1479824516518.jpg
 
Kushika dini. Dini gani? Watoto na wajukuu. Ni mambo y amuumba hayo.
 
Hawezi kumpata!... Mvumilivu wa ndoa si atakuwa na mumewe anaemvumilia?!... Mwenye watoto na wajukuu!... atakuwa na mume... uwezo wa kulima hapo sio binadamu... anawazia trekta... atampata kweli?!...
 
Back
Top Bottom