Tangazo la kupotelewa!

Mimi namtafuta Shosti, ana deni langu mwaka wa pili huu
 
Atakuwa salama tu, anahangaika na mtori ili aje aanze kwenda gym kihalali

 
Hata mie ningeshangaa TB + AshaDii = Simultaneous equation 1

Ni kama bia na udongo unaoliwa na wajawepesi

LOL Hiyo haiwezekani kama Tambi na mboga ya majani....AshaDii nipo naye hapa katulia tu:lol::lol::lol:
 
Ha ha ha, na wewe unapenda kichwa chake eeeh?

Kwa sababu ya ile mada yake ya nyumba nndogo, au?
Mh! kama ni hivyo JF itakuwa imepoteza kichwa.......................................
 
Kuna baadhi ya sehemu zake zilikatiza mitaa ya manzese nikaziambia zije kwako. Hazikufika?

umemwona sehemu? anapenda sana kwenda saluni pale kwa kopa ila siijui ni ipi hasa:shock:
 
Kwa habari za kiintelijensia, amefungia na nyumba ndogo. Namalizia uchunguzi.
 
Kweli huyu mheshimiwa ameadimika kidogo,
Jaman popote alipo kwa atakaye mwona amwambie kuna tangazo huku!
Najua kuna watu watakuwa wanataka kuimarisha maujanja ya small haoc dah!!!
 
Kweli huyu mheshimiwa ameadimika kidogo,
Jaman popote alipo kwa atakaye mwona amwambie kuna tangazo huku!
Najua kuna watu watakuwa wanataka kuimarisha maujanja ya small haoc dah!!!

Muhimu au sio...
 
lol Canta you know how Big I am eeh.. good. Umemwona babu yako?😛hoto:
Your my only Big Broda!
Babu hata sijamuona sijui yuko wapi!
Si unajua mambo ya mwisho wa mwezi sitashangaa nikisikia ameshaanza wiki end!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…