Super Charged
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 950
- 1,727
Life ilivyongumu wakinipa vyombo nasepa navyoKwa ushauri wangu achana nao hao ni matapeli. Nenda ukapewe kazi ya kuuza vyombo mtaani. Advatizi watakupiga buku ya kuchukua fomu.
Wanaandika jina la kiwanda au just kiwanda basi...?Habari Wana JF,
Katika Pitapita Zangu Maeneo ya Magomeni Mpaka Kinondoni Nimekutana na Karatasi nyingi Zimebandikwa Zinatangaza Nafasi Za Ajira, Karibu Kila Kona yamebandikwa Makaratasi Hayo, wanadai Wanatoa Ajira Supermarket Na Viwandani. Kuna Yoyote anajua Chochote Kuhusu Hao Watu.
Naomba Kusaidiwa Wana JF
Qnet hao...gusa unaseHabari Wana JF,
Katika Pitapita Zangu Maeneo ya Magomeni Mpaka Kinondoni Nimekutana na Karatasi nyingi Zimebandikwa Zinatangaza Nafasi Za Ajira, Karibu Kila Kona yamebandikwa Makaratasi Hayo, wanadai Wanatoa Ajira Supermarket Na Viwandani. Kuna Yoyote anajua Chochote Kuhusu Hao Watu.
Naomba Kusaidiwa Wana JF
Wanatikisa kiberiti cha gesi...? [emoji23][emoji23][emoji23]Life ilivyongumu wakinipa vyombo nasepa navyo
[emoji23][emoji23][emoji23] umeme mkubwa huo sio..?Qnet hao...gusa unase
HT[emoji23][emoji23][emoji23] umeme mkubwa huo sio..?
dar kuna supermarket ngapi?Habari Wana JF,
Katika Pitapita Zangu Maeneo ya Magomeni Mpaka Kinondoni Nimekutana na Karatasi nyingi Zimebandikwa Zinatangaza Nafasi Za Ajira, Karibu Kila Kona yamebandikwa Makaratasi Hayo, wanadai Wanatoa Ajira Supermarket Na Viwandani. Kuna Yoyote anajua Chochote Kuhusu Hao Watu.
Naomba Kusaidiwa Wana JF
Kiwanda tuWanaandika jina la kiwanda au just kiwanda basi...?
Hilo Nalo Ni La kujiuliza[emoji848]dar kuna supermarket ngapi?
[emoji419]Kwa ushauri wangu achana nao hao ni matapeli. Nenda ukapewe kazi ya kuuza vyombo mtaani. Advatizi watakupiga buku ya kuchukua fomu.