Tangazo la Kanumba Star Times | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo la Kanumba Star Times

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by ngoshwe, Dec 19, 2011.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Japo nia ni kujaribu kuvuta wateja kununua ving'amuzi vya Star times, pengine ubunifu unahitajika katika kuandaa matangazo. Lile tangazo la Star Times linalorushwa na TBC-1 likimwonyesha Kanumba the Great na zawadi ya Kin'gamuzi kwa Kimwana wake kwa ajili ya xmas ni miongoni mwa matangazo ya Kibiashara ambayo uhariri wake ni wa hali ya chini sana..hakuna mwanaume timamu anaweza kufanya yale anayofanya Kanumba (kucheka cheka hovyo)...labda kama ile nafasi ingekuwa ya ze-comedy..

  Wanangu leo wameniuliza sasa baba pale ndio nini??...hasa mbona yule kaka (Kanumba) anacheka cheka tu kila siku??..nikawaambia anatangaza ...Nimehisi tangazo lile haliwezi kushwawishi ununuzi wa King'amuzi hasa kwa watoto na watu wazima ambao kwa tafsiri yake ni kana kwamba wanaoguswa ni watu wa aina ile ya Kanumba Kanumba na kina dada wa sampuli ya yule aliye na Kanumba katika katangazo.

  Hachana na lime ambalo Kanumba amevaa Jezi ya AC Milan:

  [​IMG]
  [h=3]THE GREAT NDANI YA MWANZA NA STARTIMES....[/h]

  [​IMG]Kila zawadi niliyoitoa ilinibidi nisaini


  [​IMG]ilifika wakati wa kila shabiki wangu kupiga picha na mimi


  [​IMG]Wakala maarufu wa startimes Mwanza nilimpa zawadi ya picha tuliyopiga pamoja Dar-Movenpink siku niliyosimikwa rasmi ubalozi.


  [​IMG]


  [​IMG]Huyu mama toka matangazo yakitangaza kuwa Kanumba atakuepo viwanja hivyo toka asubuhi alikaa akinisubiri hata pale watu walipojaa na kumziba asinione pamoja ni mlemavu alipaza sauti akisema mwanangu kanumba naomba nikushike mkono nakuonaga katika tv,na hapo ilikuwa ni saa tisa maskini hajala ili anione tu,nami nilikatisha onesho hili na kuamuru aje mbele kufika kumbe ni mama mlemavu kaletwa na mwanae akimsukuma hakika huruma ilinijaa sana,mama aliongea akilia kuonesha upendo wake kwangu,nilimpatia zawadi toka Startimes lakini pia nilitoa pesa yangu na kumpa mama akale na mwanae,Nilimuuliza Mungu moyoni tizama mama huyu mwenye upendo wa dhati lakini ni mlemavu na asiye na uwezo mzuri kimaisha,vipi vijana wenzetu wenye afya nzuri lakini hawana upendo wala uzalendo kama huu,bali chuki,ugomvi,matusi na kupondana,Dunia hii kwa sasa inahitaji upendo na uzalendo kama huu wa huyu mama...ni maono yangu tu.


  [​IMG]Mama akilia baada ya kupokea zawadi huku mwanae akimsukuma ktk baiskeli ya walemavu mara baada ya kuongea na mimi.


  [​IMG]Dada huyu akipokea zawadi mara baada ya kuweza kuigiza kicheko changu na watu kumshangilia,sikujua kama mashabiki hufatilia hata jinsi mtu unavyocheka.  [​IMG]   
 2. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Mle kuna effect flani zimefanywa utafikiri movie la kihindi yule demu akidondosha makablasha pale!!wabongo wanaigiza hadi matangazo...!!
   
 3. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #3
  Dec 19, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mi nimependa Signature tu "Mnataka kujua nini? Sikuzaliwa ili nipate nishani... "Please don't make it an issue, acheni suala hilo ni uchonganishi, acheni," - Malecela.
   
 4. Da Pretty

  Da Pretty JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 3,050
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Kweli lile tangazo lipo chini ya viwango kabisa halafu kufanywa na msanii mwenye jina (nimesema jina sio uwezo) kubwa kama Kanumba??
  Hatukutegemea makosa ya wazi kivile na kama wameandikiwa still walikua na uwezo wa kurekebisha?
  Kwanza binti analazimisha kujua zawadi aliyoandaliwa,naamini zawadi kama haikua kwenye ahadi basi itakua ni ya kushtukiza...
  Pili,mi sijaelewa kinachomchekesha kama chizi,ina maana hata anapokua kwake(sijui kwao) anaangalia tv akafurahishwa ndio anacheka vile? Na huyo binti kubwaga magazeti na bag yake ndio nini?
  Msilewe sifa hadi kulipua,hao STAR TIMES hakuna anaeona kua limekaa vibaya?
  Mbn yule dada (fifi kisura sijui jina lingine) kuna tangazo la godoro kalitendea haki,huku imekuaje??
   
 5. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #5
  Dec 20, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  kwanza nakereka nilionapo hilo tangazo yaani halina uhalisia wowote. Nitarudi baadae kidogo
   
 6. chuchunge

  chuchunge Senior Member

  #6
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 131
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  That advert is lacking creativity,linabore na halina mashiko,too fake!
   
 7. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #7
  Dec 20, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  hata mimi sijalipenda hili tangazo, limekosa uhalisia.
   
 8. Soraya

  Soraya JF-Expert Member

  #8
  Dec 20, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mi nalipenda, unamuona actress WARDA.
   
 9. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #9
  Dec 20, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwani Kanumba ana elimu ya advertisement au ni njaa ya kibongo inayomsukuma kutangaza? Umesahau kuwa hata ikulu kuna muigizaji na msanii aitwaye Jaa Kaya au Njaa Kaya?
   
 10. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #10
  Dec 20, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,359
  Trophy Points: 280
  Pale yule dada ameigiza kama mke wa Kanumba ambae wanaishi nae ndani,

  Nisichoelewa hicho
  king'amuzi alikua akimpa chanini wakati wanacho nyumbani na ndio alikua akiangalia hicho??
   
 11. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #11
  Dec 20, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Aisee Ngoshwe umeniwahi....ilikuwa nilianzishie thread hilo tangazo! Hilo tangazo linachefua sana!
   
 12. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #12
  Dec 20, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  tangazo limekaa kipunga punga sana bana
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Dec 20, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Duh, naskia waliilowesha serewali yake wakamkalisha kwenye tuthpick, ndo maana anacheka lakini uso una taharuki
   
 14. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #14
  Dec 20, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,061
  Likes Received: 7,525
  Trophy Points: 280
  Nikionacho hapa ni kuwa na wewe umelipwa na hao Star times ili kuwatangaza bila ya kulipia hapa JF.
  Au wewe ndiye Kanumba mwenyewe unapima upepo huku unatangaza biashara?
  Kama sivyo hizo events nyingine zinafuata nini kwenye thread yako?
   
 15. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #15
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  STARTIMES wapo wapo tu kama walivyo TING/ATN ... Sina uhakika kama TCRA na mamlaka husika wamefanya utafiti wa kutosha kabla ya kuwapatia LESENI hawa kwa ajili ya "Analogy-to-Digital" TV broadcasting?

  naona kama wanao upungufu wa kila hali
   
 16. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #16
  Dec 20, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Pale kwenye lile Tangazo walichemka sana. Kwa urahisi wa kuangalia kama tangazo limepokelewa waangalie watoto wanalichukuliaje. Yaani pale ni mchemsho wa hali ya juu
   
 17. A

  Anny marwa Member

  #17
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kiukweli mi mwenyewe cjalipenda halina kiwango
   
 18. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #18
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,237
  Likes Received: 451
  Trophy Points: 180
  WABONGO BANA KWAKUKOSOA NDO MANA MTAKUFA MASIKINI....KAMA HAMJUI KANUMBA AMEKULA 86,000,000 (86 MILLIONS) kwa hayo matanganzo na hizo picha...sasa endeleeni kuropoka humuuuu mpaka asubuhi,,, mtaishia kuchangia tuu mwenzenu anakula!!!

  ukinichukia shauri yako...ukweli ndo huo ...wabongo wambea!!!!

  i hate startimes ...i hate kanumba but i appreciate the guy on his hard work though kuna mpungufu madogo madogo keep it up...
   
 19. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #19
  Dec 20, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ndio maana Ray anakuambia yeye hawezi kuuza sura kwenye TV kama vile. Kanumba naye anapenda sana kujikweza, alienda south big brother kachemsha.
   
 20. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #20
  Dec 20, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ya Mkuu umegusa penyewec kabisa..sijajuwa kama mume au mke anaweza kununulia mwenzie zawadi ya vitu kama TV, Makochi, Kitanda au meza ya chakula??..Kanumba kafanya "Ukanumba" zaidi..
   
Loading...