Sheria ya matangazo hairuhusu hicho ulichotetea.
Barakauda-Sheria ya matangazo inasemaje kwani?Tuelimishe sisi wengine ambao hatujabobea.
Sheria ya matangazo hairuhusu hicho ulichotetea.
Hao tiGO ndo wahuni,eti "KUTOKA LINDI MPAKA SEMUNGE" wakati kutoka DSM to Lindi tigo unaipata kwa bahati na kuna maeneo hakuna,ukiwa Ruangwa mtandao mbovu intanet ndo usiulizie utachekwa,huko ni eateli tu,na ndo ambayo inapatikana njia nzima,so nao wanapotosha piaPole kwahiyo mlikuwa mnaaminii weeeee vp matangazo mengine kama tgo joti anajijibu na kujiuliza mwenyewe
Ukiacha hilo, matangazo mengine yanayo-boa ni yale ya MAGODORO. Hamna ubunifu.
...Tuelimishe sisi wengine ambao hatujabobea.
Not poor skills, they know what they are doing.Poor market advertising skills......!
Ukiacha hilo, matangazo mengine yanayo-boa ni yale ya MAGODORO. Hamna ubunifu.
tafuta ktk mtandao.
false advertisement
Hivi mkuu hii ikoje,mtu anapepewa na hela???hiyo maana yake ni nini,mnisaidie nipo huku Kishumundu.
Poor you.... eti tafuta katika mtandao!!!...
beibby godoro ulioleta sio kabisaaaa
HAPO HATA MUME WAKE HAJAINGIA NALO NDANI KASHAJUA HALINA CHAPA YA GODORO ALITKALO
USELESSSSS TANGAZO
Poor you.... View attachment 243804
CPA lazima uing'oe!!Lugha ya kibiashara au fraudulent misrepresentation?