Tangazo la Jaymillions lina kasoro

Tangazo la Jaymillions lina kasoro

barakuda

Hivi wanasema kutolewa kila siku au kushindaniwa kila siku??
 
Last edited by a moderator:
Kama walivyo comment wengine, matangazo mengi ya kwetu hayana viwango, tujaribu kuyajadili yenye viwango na yale yasiyo na viwango, hususan ya makampuni yetu ya kibongo bongo!
 
Ni kweli ila haya ya Qfl godoro Dodoma yamezidi...hili tangazo lao jipya wamejaza wadada kibao wazuri ila wameshindwa kuwatumia bora hao wadada angepewa Katavi angewatumia vizuri
Wale wadada ile kazi imewashinda, wangekuja kwangu ningewapa kazi inayowafaa zaidi.
 
Back
Top Bottom