Tangazo la Jaymillions lina kasoro

Tangazo la Jaymillions lina kasoro

wa hapahapa

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
7,460
Reaction score
4,402
Hili tangazo la Jmilions linadanganya watu kwa kusema mamilion 100 kutolewa kila siku

TCRA zuieni haya matangazo\uongo.
 
Hivi mkuu hii ikoje,mtu anapepewa na hela???hiyo maana yake ni nini,mnisaidie nipo huku Kishumundu.
 
mpaka sasa washindi wa milion 100 hawazidi watatu.
 
Pole kwahiyo mlikuwa mnaaminii weeeee vp matangazo mengine kama tgo joti anajijibu na kujiuliza mwenyewe
 
Capture.PNG
Na huyu naye anavunja yai kwa meno au ndio anakula hapo?
 
Lile tangazo wamelikosea, kuna wakati unamsikia JAY anasema... nitumie message na mimi nishinde wakati yeye ndiye mgawa pesa.
 
Yan Voda kwanza ni Malofa wote kwanza ni waongo na wezi na pia matagazo yao ni ya kikuba.....yan hamna mtandao wenye matangazo ya kikuba kama voda aise wanaboaa...Ptumbafh
 
Milionea yuko busy anahesabu mahela????! Huyo milionea au muuza duka? Kakosa mashine za kuhesabia? Hana wafanyakazi?

Apo sasa milionea tu vile je angekua Bilionea C angeenda uwanja wa Taifa akakae nazo huko anze kuzihesabu....
 
Hili tangazo la Jmilions linadanganya watu kwa kusema mamilion 100 kutolewa kila siku

TCRA zuieni haya matangazo\uongo.

Its abit tricky....wanaweza kujitetea wakasema kuna potential ya mtu kushinda kila siku, kama huyo mwenye bahati akituna msg...
 
Back
Top Bottom