Tangazo la home tuition – mafunzo bora ya nyumbani

Tangazo la home tuition – mafunzo bora ya nyumbani

Home tutor Dar

Senior Member
Joined
Feb 23, 2025
Posts
114
Reaction score
139
Mzazi au mlezi, je unajisikia maumivu kuona mtoto wako:
Hajasoma wala kuandika vizuri?
Anapata tabu kuelewa masomo darasani?

Anashuka darasani licha ya juhudi zako zote?

Anaogopa masomo au hana kabisa hamasa ya kujifunza?

Usijilaumu. Watoto hawafeli kwa sababu hawana uwezo, mara nyingi wanakosa mwongozo sahihi na uangalizi wa karibu.

Hapa ndipo Home Tuition inapofanya tofauti.

Tunatoa mafunzo ya nyumbani yenye ubora wa hali ya juu, yakimlenga mtoto mmoja mmoja kulingana na uwezo wake. Tunaanza na msingi, tunajenga uelewa, tunarudia mpaka mtoto aelewe bila hofu.

HUDUMA ZETU NI PAMOJA NA:
Mafunzo kwa Chekechea, Msingi na Sekondari

Watoto wasiojua kusoma na kuandika kabisa

Watoto wenye changamoto za kuelewa masomo
Mitaala yote (Serikali na Binafsi)

Lugha za kigeni ikiwemo English na nyinginezo
KINACHOTUTOFISHA:

Mtoto anafundishwa akiwa nyumbani kwake, mazingira rafiki na salama

Ufuatiliaji wa karibu wa maendeleo ya mtoto
Mwalimu anajali matokeo, si muda pekee

Mafunzo yanazingatia kasi ya mtoto, si kulazimisha

DHAMANA KWA MZAZI:
Ikiwa mtoto hataonyesha mabadiliko ya kweli ndani ya wiki mbili, mzazi hatolipa ada. Huu ni ushahidi wa kujiamini kwetu.

Tunapatikana Bara na Zanzibar, tukiwa tayari kumsaidia kila mtoto anayehitaji msaada wa kweli kielimu.

Usisubiri hadi mtoto apoteze imani na masomo.
Chukua hatua leo, badilisha kesho ya mtoto wako.

📞 Mawasiliano: 0674 090 429
(Piga simu, tuma SMS au WhatsApp)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom