Angalia post namba tatu mdau kafafanua vizuri staki kurudia
we mburura
Mbona wameaema 72degrees east au macho Hanna?Pole sana kosa kubws sana kupinga jambo usilolijua mkuu
Hamna hata Kama wangesema hivyo ndio wamechemka kabisaaa Tena porini.Intelsat gani inasetiwa kwa 72 degrees East? itajie wewe mwenye macho unayeona na utueleze Ni KU band au Ni CBand?Mbona wameaema 72degrees east au macho Hanna?
Kama ni Intelsat 22 (72.1°E) basi wanajiunga na stations za Kenya (nyingi zinatumia Intelsat 22). Ni mtihani tena kwa sisi tunaotumia FTA receivers na dish za 6ft and above.Mbona wameaema 72degrees east au macho Hanna?
CbandHamna hata Kama wangesema hivyo ndio wamechemka kabisaaa Tena porini.Intelsat gani inasetiwa kwa 72 degrees East? itajie wewe mwenye macho unayeona na utueleze Ni KU band au Ni CBand?
1june this yearKama ni Intelsat 22 (72.1°E) basi wanajiunga na stations za Kenya (nyingi zinatumia Intelsat 22). Ni mtihani tena kwa sisi tunaotumia FTA receivers na dish za 6ft and above.
Kwa walioangalia hilo tangazo, je watahama lini?
Terrible!!1june this year
Intelsat 22 at 72.1°E mbona ipo. Na channels za Kenya kama Citizen, KTN nk zinasetiwa kwenye uelekeo huo.Hamna hata Kama wangesema hivyo ndio wamechemka kabisaaa Tena porini.Intelsat gani inasetiwa kwa 72 degrees East? itajie wewe mwenye macho unayeona na utueleze Ni KU band au Ni CBand?
NimeonaHayo maelezo kwenye tangazo hayapo ndio maana nikasema tangazo lao liko shallow
Hats CH ten watahamia hapoIntelsat 22 at 72.1°E mbona ipo. Na channels za Kenya kama Citizen, KTN nk zinasetiwa kwenye uelekeo huo.
Hicho ndicho walitakiwa kutangaza Intelsat ipi iko degrees gani East or West Ni CBand au KU band ,transponder zipi na symboll rate zipi.Hawajaweka full details kwenye tangazo ili watu ikifika hiyo June moja tunajisetia wenyewe chap chapIntelsat 22 at 72.1°E mbona ipo. Na channels za Kenya kama Citizen, KTN nk zinasetiwa kwenye uelekeo huo.
Ni kweli unachosema, walitakiwa walete full details. Ila kwa watumiaji wa startimes, sidhani kama hilo litakuwa tatizo kwao coz hizo alterations watazifanya wao service providers. Wenye FTA receivers ndio watapata mtihani wa kufanya changes na ku-set madish upya.Hicho ndicho walitakiwa kutangaza Intelsat ipi iko degrees gani East or West Ni CBand au KU band ,transponder zipi na symbolt rate zipi.Hawajaweka full details kwenye tangazo ili watu ikifika hiyo June moja tunajisetia wenyewe chap chap