Tangazo la EATV kuhusu Kuhamia Tv na radio za IPP Intelsat lina mapungufu

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,909
51,904
Wanatangaza kuwa wanahamia Intelsat hawataji Intelsat gani wanasema tu Intelsat.Rekebisheni tangazo liko ki-layman mno.
 
Wafafanue inteset degree ngapi? East or west? Je ni band ipi? C band or KU band?.
Sahihi kabisa mkuu huyo aliyeandaa Hilo tangazo Kama kalipwa arudishe pesa Kama ni mfanyakazi apunguzwe cheo na mshahara
 
Alie muelewa mtoka uzi anipee dondoo ya kile alichokimaanisha, maana nimetoka kappa.
 
Mbona wameaema 72degrees east au macho Hanna?
Hamna hata Kama wangesema hivyo ndio wamechemka kabisaaa Tena porini.Intelsat gani inasetiwa kwa 72 degrees East? itajie wewe mwenye macho unayeona na utueleze Ni KU band au Ni CBand?
 
Mbona wameaema 72degrees east au macho Hanna?
Kama ni Intelsat 22 (72.1°E) basi wanajiunga na stations za Kenya (nyingi zinatumia Intelsat 22). Ni mtihani tena kwa sisi tunaotumia FTA receivers na dish za 6ft and above.

Kwa walioangalia hilo tangazo, je watahama lini?
 
1june this year
 
Hamna hata Kama wangesema hivyo ndio wamechemka kabisaaa Tena porini.Intelsat gani inasetiwa kwa 72 degrees East? itajie wewe mwenye macho unayeona na utueleze Ni KU band au Ni CBand?
Intelsat 22 at 72.1°E mbona ipo. Na channels za Kenya kama Citizen, KTN nk zinasetiwa kwenye uelekeo huo.
 
Intelsat 22 at 72.1°E mbona ipo. Na channels za Kenya kama Citizen, KTN nk zinasetiwa kwenye uelekeo huo.
Hicho ndicho walitakiwa kutangaza Intelsat ipi iko degrees gani East or West Ni CBand au KU band ,transponder zipi na symboll rate zipi.Hawajaweka full details kwenye tangazo ili watu ikifika hiyo June moja tunajisetia wenyewe chap chap
 
Hicho ndicho walitakiwa kutangaza Intelsat ipi iko degrees gani East or West Ni CBand au KU band ,transponder zipi na symbolt rate zipi.Hawajaweka full details kwenye tangazo ili watu ikifika hiyo June moja tunajisetia wenyewe chap chap
Ni kweli unachosema, walitakiwa walete full details. Ila kwa watumiaji wa startimes, sidhani kama hilo litakuwa tatizo kwao coz hizo alterations watazifanya wao service providers. Wenye FTA receivers ndio watapata mtihani wa kufanya changes na ku-set madish upya.
 
Back
Top Bottom