Tangazo la EATV kuhusu Kuhamia Tv na radio za IPP Intelsat lina mapungufu

Hamna hata Kama wangesema hivyo ndio wamechemka kabisaaa Tena porini.Intelsat gani inasetiwa kwa 72 degrees East? itajie wewe mwenye macho unayeona na utueleze Ni KU band au Ni CBand?
Wakitoa number ya tarakimu 4 ni cband ikiwa tano ni ku
 
Hicho ndicho walitakiwa kutangaza Intelsat ipi iko degrees gani East or West Ni CBand au KU band ,transponder zipi na symboll rate zipi.Hawajaweka full details kwenye tangazo ili watu ikifika hiyo June moja tunajisetia wenyewe chap chap
Hujui lolote unafikiri ccm hiyo tafuta fundi akifungie
 
Hujui lolote unafikiri ccm hiyo tafuta fundi akifungie
Wengine tuna ma dish ya jack Yale automatic ya kutumia remote control hakuna fundi wa kupanda juu Kama ngedere kuzungusha kwa mikono huku anamuuliza mwenzie vipi signal inashika hapo kaa mbali na Mimi .Mimi sihitaji fundi was Kuset dish any direction natumia remote tu Hadi napata parameters zote
 
Najaribu kuseti mbona nakwama mkuu
 
Kama ni Intelsat 22 (72.1°E) basi wanajiunga na stations za Kenya (nyingi zinatumia Intelsat 22). Ni mtihani tena kwa sisi tunaotumia FTA receivers na dish za 6ft and above.

Kwa walioangalia hilo tangazo, je watahama lini?
Hii kitu kwa Tanzania mpaka uwe na futi 8 iliyotulia ,ikiwa na matege baadhi ya station haziingii
 
Back
Top Bottom