Tangazo la biashara!!!

Tangazo la biashara!!!

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,166
Reaction score
2,670
Tunasuuuza meno.
Tunanyofoa vinyweleo vya kwenye pua.
Tunanyofoa nywele za kwenye kwapa.
Tunaminya vipele.
Tunakamua vijipu.
Tunafinya misuli.
Tunachekesha pua.
Tunauza pilipili hoho.

Karibuni sana!
 
Back
Top Bottom