Tangazo la ajira Jeshi la Polisi 2014/2015

Afande,

Mining engineer atakuwa na majukumu gani ndani ya jeshi la polisi ?
 
Ndo kwanza inaanza mwaka huu, so cjajua xactly specific duty zao. But madoctor licha hushirikiana na other medical officers kwny kupima postmotam kugundua vyanzo na sababu za vifo kwny murder case. Nahisi hata hao mining engineer watakuwa kwny kitengo cha kuchunguza na kuidhinisha madini kudhibiti wizi na madini fake.
 
Mkuu mm ni nina shahada ya sayansi ya mazingira sijui nitapata majukumu gani endapo nikienda huko
 
Hivi ni kweli...polisi anapata barua ya ajira baada ya miaka 12 tangu aanze kazi...!? hii miaka mingine anakuwa kibarua tu....!? Tafadhari tunaomba kupewa ukweli wa jambo hili...ili jumuiya ya watanzania iondolewe mawazo tata juu ya ajira za Polisi.

NCO's ( askari chini ya nyota moja) wanakua chini ya masharti ya mkataba mpaka miaka 12 lakini mnapokua maafisa(Nyota moja na kuendelea) mnaingizwa automatically permanent terms!!
 
Mkuu hebu nifafanulie askari chini ya nyota mkataba wao ni vp

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mkuu hebu nifafanulie askari chini ya nyota mkataba wao ni vp

Una-renew mkataba kila baada ya miaka mitatu mara nne...yaani hadi miaka 12. Kama afya hairuhusu au unahama secta ndo unaamua kurenew au kutorenew...kabla hujaenda likizo ndefu.
 
mkuu mm nin dip ya marine engineering sijui nitakuwa na cheo gan huko?
 
Hapa kuna utata coz transcript zinatoka mwezi wa 11 au 2 mwakani ila kwa sasa statement of result na provisional result ndo watu wanazo
 
Nashukuru kwa majbu mazur ambayo umekuwa unayatoa Sorry kaka Lugoje! Kati ya course walizoztaja sijaiona Sociology but kuna community development ambayo n similar na sociology vp naweza kutuma
 
Sociology ipo wew ebu rudia kuangalia
 
MBA je?? Masters in business administration

Hawaja sema watu wa masters mkuu, labda kama umri unaruhusu unaweza tumia cheti cha undergraduate lakn na penyewe utabanwa kwenye kigezo cha kutohitimu mwaka huu
 
Mkuu hebu nifafanulie askari chini ya nyota mkataba wao ni vp

Una-renew mkataba kila baada ya miaka mitatu mara nne...yaani hadi miaka 12. Kama afya hairuhusu au unahama secta ndo unaamua kurenew au kutorenew...kabla hujaenda likizo ndefu.

Vp kama askari anaumwa na at the same time anataka kuendelea na kazi na ugonjwa huo ameupata kutokana na shuguli za jeshi anaweza sitishiwa mkataba?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom