Tangazo la ajira Jeshi la Polisi 2014/2015

Tangazo la ajira Jeshi la Polisi 2014/2015

Ur profession is not a matter...the matter is what department are u? Kama hupendi uniform just stay at home keep waiting for ur dream job. Infact..sociology hupangwa dawati la jinsia na watoto, hawavai uniform.

kuna kaka yangu ni graduate amesoma sheria hapo mlimani ila ni graduate wa 2011 ana miaka 30 ni mrefu 170cm, vipi anaweza jaribu au asijisumbue?
 
kuna kaka yangu ni graduate amesoma sheria hapo mlimani ila ni graduate wa 2011 ana miaka 30 ni mrefu 170cm, vipi anaweza jaribu au asijisumbue?

Mmmh ile form kwa chini wamesisitiza ijazwe only na graduate wa 2014.bt anaweza jaribu nadhani
 
Ajira kwa Wahitimu Elimu ya Juu
Mwaka 2014
Katika mwaka wa fedha 2014/2015 Jeshi la Polisi
Tanzania linatarajia kuajiri wahitimu wa vyuo vya
Elimu ya Juu wa mwaka 2013/2014. Ili kutekeleza
azma hii waombaji watajaza kikamilifu na
wataambatanisha vivuli vya vyeti vyao na kutuma
Makao Makuu ya Polisi kwa njia ya Posta kabla ya
tarehe 31.08.2014 kwa anuani ifuatayo:
Inspekta Jenerali wa Polisi,
Makao Makuu ya Polisi,
S. L. P. 9141,
DAR ES SALAAM
Waombaji wawe na taaluma zifuatazo:
Shahada: Menejimenti ya Rasilimali Watu, Utawala
katika Utumishi wa Umma, Uchumi, Saikolojia na
Ushauri Nasihi, Usimamizi wa Sheria na Utekelezaji
[BaLE], Sheria, Ualimu, Maendeleo ya Jamii,
Uandishi wa Habari, Uandishi wa Habari za
Michezo, Mawasiliano ya Umma, TV & Redio
Production, Michezo, Ugavi[BA in Procurement &
Supplies], Mawasiliano ya Redio[Bsc in Radio
Communication], Mazingira[BA in Environmental
Disaster Mgt], Uhandisi Mitambo, Uhandisi Madini
[Mining Engineering], Uchoraji[BA in Fine Arts],
Fedha na Benki[Finance & Banking], Daktari[Medical
Doctor] na Daktari wa Meno[Dental Surgeon],
Mkemia, Bailojia[Molecular Biology].
Stashahada: Utunzaji Kumbukumbu, Katibu
Muhutasi[Personal Secretaries], Mawasiliano ya
Redio, Matengenezo ya Kompyuta, Fax na
Photocopy Machines, Mafundi Mitambo wa Meli,
Mafundi Umeme wa Magari, Ugavi[Procurement &
Supplies], TV na Video Production, Manahodha,
Tabibu[Clinical Officer], Tabibu wa Meno[Dental
Therapist], Mzoeza Viungo[Psysiotherapist/
Occupational Therapist], Fundi Sanifu Mionzi
[Radiographer] na Fundi Sanifu Macho[Optometrist].
Astashahada: Uzamiaji, Mpishi, Fundi Pikipiki,
Fundi Ushonaji na Muuguzi Msaidizi[Enrolled
Nurse].
MASHARTI KWA MWOMBAJI
1. Mwombaji atajaza fomu ya maombi kikamilifu na
atabandika
picha yake “Ppt Size” kwenye fomu.
2. Mwombaji aambatanishe katika fomu vivuli vya
vyeti vyote
yaani cheti cha kuzaliwa, kuhitimu elimu ya
sekondari[Leaving
& Academic], cheti/vyeti vya taaluma[Academic
Transcript].
3. Hati ya kiapo cha kuzaliwa haitakubalika.
SIFA ZA MWOMBAJI
1. Awe Mtanzania kwa kuzaliwa.
2. Awe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi
miaka 25.
3. Awe amehitimu chuo mwaka wa masomo
2013/2014 tu.
4. Awe na tabia njema.
5. Asiwe na kumbukumbu za kutenda uhalifu.
6. Awe na afya njema[kimwili na kiakili]
7. Awe hajaoa/hajaolewa au kuwa na mtoto.
8. Asiwe na alama za kuchora mwilini[tatuu].
9. Awe na urefu usiopungua sentimita 155.
10. Asiwe mtumiaji wa madawa ya kulevya.
11. Awe hajaajiriwa na idara nyingine Serikalini.
12. Awe tayari kuhudhuria mafunzo ya awali ya
Polisi.
13. Awe tayari kufanya kazi popote ndani na nje ya
Tanzania.
Pakua Fomu:- Fomu ya Ajira Elimu ya Juu
2013/2014
 
Kaka usipotoshe watu, hiyo ilikuwa ya 2012/13...2013/14 ilikuwa 674,000/- na mwaka huu 2014/15 imeongezeka 10% = 741,000/- mwakani tunaingia uchaguzi mkuu..najua magamba yatajipendekeza yataongeza pakubwa. Endeleeni kupiga porojo zamkumbo mitandaoni.

Iyo ni kwa profgesionals wote au degree?
 
Ni 741,000/- ukiachana 15% ya kutumikia profession yko, 15% kodi ya kupanga (kama huishi quoters), au 10% kama utakuwa FFU, au 15% ukipangwa upelelezi. Toa na 180,000/- lession ya kila tar15. Nimekuibia japo mshahara ni siri. Haya uamuzi niwenu.
Kipimo cha mtanzania mpiga kelele ni kumpa nafasi au pesa, yoote mnayoongea humu,mkiingia huku mnakaa kimyaa!

I mean wenye ujuzi kuanzia certificate, diploma na degree au ni kwa degree peke yao?
 
Wadau,

Tangazo la ajira kwa wahitimu wa elimu ya juu (diploma,degree,etc. 2014 tu). Kwa wanaohitaji watembelee blog ya jeshi la police www.policeforce.go.tz kwa maeleza zaidi ya professional zinazohitajika na vigezo au viambatanishi wakati wa kuomba, pamoja na jinsi ya kudownload form husika. Mwisho wa application ni 31.08.2014.

ANGALIZO: Tunataka vijana wenye weledi waje huku, usije kwakuwa umekosa ajira. Uje utusaidie kulibadili jeshi upunguze haya malalamiko na laana za raia juu yetu kwa mambo wasioyaelewa kuhusu kazi hii ya lawama. Uje na moyo wote na uvumilivu wako na utayari kufanya kazi yyte ya polisi ndani ya vikosi vyetu. Lamwisho...unapokuja usimsikilize mtu..wengi utawasikia wakibeza na kukuvunja moyo lakini utakutana nao kwny interview. Binadamu ni waajabu...hayo yalitokea enzi zetu wakati tunaingia na degree zetu!

KARIBUNI SANA TUJENGE NCHI!

Mkuu mi nmemaliza Diploma ya Business Administration but cjaona kama mmeiorodhesha humo na nlikua nahtaj sana hizo nafasi napenda sana hiyo kazi, cjui nfanyeje apo
 
Alaf nina jamaa yang ameshajaza fomu, ila kuna sehemu imemchanganya, kuna sehem mwishon mwishon wameandika for official use alaf then kuna kuna open ya kujaza matokeo sasa ile nafas inajazwa chuon au ina2mwa ikiwa waz hivohvo
 
Kuwa mwela kwataka moyo asee af bwana lugoje hawa wenzenu wanaotukamataga barabaran na kutulazimishia faini hata kwa kosa dogo la kutoa onyo kwa kusema kuwa wao wanaagizwa na wakubwa wao kuwa watimize idadi kadhaa ya faini huwa ni kweli??
 
Mkuu mi nmemaliza Diploma ya Business Administration but cjaona kama mmeiorodhesha humo na nlikua nahtaj sana hizo nafasi napenda sana hiyo kazi, cjui nfanyeje apo

Yap..kozi yako haipo, nadhani jeshi halijaamua bado kuchukua profession kama hiyo. Kwa sasa tuna waasibu wengi raia,sio askari na kwa bahat mbaya sana jeshi halina miradi kama Jwtz (shule,viwanda,etc) ambayo ingehitaj watu kama ninyi. Lakini naamini ni jambo la mchakato...profession zilizopo mwaka huu last yr nyingi hazikuwepo...tuvute subira mwakani wanaweza wakahitaji.
 
Alaf nina jamaa yang ameshajaza fomu, ila kuna sehemu imemchanganya, kuna sehem mwishon mwishon wameandika for official use alaf then kuna kuna open ya kujaza matokeo sasa ile nafas inajazwa chuon au ina2mwa ikiwa waz hivohvo

Sehem yyte iliyoandikwa FOR OFFICIAL USE ONLY iache. Matokeo sio lazma yawe ya academic...huenda ni ya interview maana hiyo form itatumika kwny interview zngne zaid. Mkifanikiwa kufika CCP bado mtakutana na interview zngne za vyet,damu,chest width, na mitihani ya kupima IQ kadri watakavyoona inafaa. So fill the gaps you suppose to fill...not otherwise. Nice wkend!
 
Yap..kozi yako haipo, nadhani jeshi halijaamua bado kuchukua profession kama hiyo. Kwa sasa tuna waasibu wengi raia,sio askari na kwa bahat mbaya sana jeshi halina miradi kama Jwtz (shule,viwanda,etc) ambayo ingehitaj watu kama ninyi. Lakini naamini ni jambo la mchakato...profession zilizopo mwaka huu last yr nyingi hazikuwepo...tuvute subira mwakani wanaweza wakahitaji.

Na vipi kuhusu usaili kwa professionals inakua inahusu maswali kuhusu ulichosomea au wanaangalia tu ukamilifu wa afya na maswali yakukupima uwezo wa kufikili pekee!
 
Na vipi kuhusu usaili kwa professionals inakua inahusu maswali kuhusu ulichosomea au wanaangalia tu ukamilifu wa afya na maswali yakukupima uwezo wa kufikili pekee!

Umeona weakness gani jeshini ambazo unafikiri profession yko inaweza kulitatua na utatatuaje?. Ila swali la kwnz ni your biography.
 
Hivi ni kweli...polisi anapata barua ya ajira baada ya miaka 12 tangu aanze kazi...!? hii miaka mingine anakuwa kibarua tu....!? Tafadhari tunaomba kupewa ukweli wa jambo hili...ili jumuiya ya watanzania iondolewe mawazo tata juu ya ajira za Polisi.
 
Umeona weakness gani jeshini ambazo unafikiri profession yko inaweza kulitatua na utatatuaje?. Ila swali la kwnz ni your biography.

Kwenye swala la manunuzi awafuati sheria na kanuni ya manunuzi kwenye non restricted items hivyo ntahakikisha manunuzi yanafanyika kwa kuzingatia sheria na kanuni!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom