MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,092
- 7,236
like literary
ahahaha...hii ya pale millenium tower huwa niaipenda xana, hakika hawa jamaa wa g-o-t-i ni wabunifu wazuri xana.
like literary
Nimeskia leo wamepiga tangazo la hakuna kukata unapotuma na kupokea pesa kwa eateli,ila haya makampun yanatufanya mazuzu tu kwa ktulia vijisent
competition law hairuhusu hivo
unapotoa tangazo lako ktk media au yale ya ukutani na mabango huruhusiwe kumkashifu mwenzio kwa namna yoyote ile
itakayomjengea image mbaya katika jamii ili kumdumaza kibiashara na kiushindani
wanasheria wa TIGO kama wapo makini hii ndio sehemu ya kula fedha za airtel
wakafungue kesi mahakama kuu kanda ya biashara
sababu zipo nyingi mlizotaja na zingine
na wadai damage ya kutosha na other reliefs.
sheria za ushindani zipo na wanazielewa.
Airtel ubunifu ziroo kabisa mfano mdogo waliona Vodacom iko juu wakampandia dau yule Dogo wa masoko wakamchukua kama haitoshi mwaka Jana wamemupandia dau rafiki yangu mbando aliekuwa tigo sasa yuko airtel kama umegundia mbinu zote za masoko za airtel ni copy za tigo ushindani hakuna wanaigana kutuibia wateja tuu basiiiiii!!!! Yule master planner wa airtel yuko kama sisiem hana jipya kabisaa nimetupa na laini Yao airtel shen******i kabisa Yaani hawawezi kuleta jipya kwenye ulimwengu wa tekinolojia ya mawasiliano bora kupiga simu naitumia tigo na huduma internet Vodacom wengine wangoje nikiwa eneo ambalo mitandao hiyo miwili haipo..
Kitu gani kinachonyesha moja kwa moja kwamba katika lile tangazo mlengwa ni TiGo ? minadhani ni swala la mtazamo kwa sababu Tigo hana hatimiliki ya rangi (Blue, wala Bajaji) labda kama wangeonyesha Logo hapo Airtel wasingechomoka. Inawezekana ngome ya Tigo inatingishwa ndio maana watu wanaanza kulalamika kazi buti Airtel kama wanaweza waige bure bure ....Yatosha .