Dotto C. Rangimoto
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,985
- 1,282
Habari.
Tunafurahi na kushukuru kuona kuna wimbi kubwa la watanzania wa ndani na nje ya nchi yetu wanataka kuwa wanachama wa chama chetu lakini upungufu wa kadi na kuwafikia walipo imekuwa ni changamoto kati yetu na yao. Si hivyo tu, hata kumjibu mmoja mmoja barua pepe yake au ujumbe mfupi wa simu ni changamoto nyingine na hii ukizingatia wingi wao; tunajitahidi kuwajibu mmoja mmoja kadiri ya uwezo wetu lakini taarifa hii tunaraji itakata kiu ya waulizaji wengi.
Chama kinandaa kadi mpya na bendera mpya ambazo zitazingatia mabadiliko ya katiba yetu. Imeamuliwa kuwa wenye kuhitaji kuwa wanachama wawasilishe taarifa zao kwa waratibu wa mikoa wanayoishi au katika namba hizi 0784845394 kama huna mawasiliano na mratibu wako. Taarifa zinazotakiwa ni.
ACT-TANZANIA
TAIFA KWANZA
Asanteni.
Njano5.
0784845394

- Jina; vema yawe matatu
- Mkoa Unaoishi
- Jimbo unaloishi
- Kata/Wadi unayoishi
- Mtaa/Kitongoji/Sheia unayoishi
- Namba ya Simu
- Email Address
- Kazi uifanyayo
- Kama umejiandikisha kupiga kura au la
- Kama upo nje ya nchi watakiwa utaje nchi uliyopo.
ACT-TANZANIA
TAIFA KWANZA
Asanteni.
Njano5.
0784845394