Tangazo kali zaidi

mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,212
867
Heshima kwenu wakuu.! Naomba tujikumbushe matangazo yaliyowahi kubamba sana hapa tz, pia yale ambayo yana utata tujadiliane kujua nini hasa ilikuwa 'idea' na ujumbe wa mtunzi. Lakini je yana ubunifu?? Tuanze na hili la tigo la baro na sharo nini hasa hawa jamaa wanakomunicate?
 
Someone to Internet,
Someone to Email,
Someone to be arround at Information,

Raha dot com connect the nation,
Raha dot com connect the nation,

24 times a day, raha dot quick,
Internet chart with a super fast speed,
 
Someone to Internet,
Someone to Email,
Someone to be arround at Information,

Raha dot com connect the nation,
Raha dot com connect the nation,

24 times a day, raha dot quick,
Internet chart with a super fast speed,

mkuu this is a real commercial..
 
Back
Top Bottom