Tangazo hili ni crime!

Buyaka

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
1,643
1,786
MILAGE.png

Watu wana balls za kutangaza wazi wazi biashara ya kuchakachua rekodi ya matumizi/uchakavu wa gari, odometer reading, ukisikia "lawlessness" kwenye nchi ndo hii... Kwenye nchi zingine kurudisha nyuma odometer ni booooonge la crime!

Sasa tuseme jeshi zima la polisi na law enforcement wote kwa ujumla hamna hata mmoja mwenye exposure ya kujua maana ya odometer reading ? Kwa nini hawa watu wasikamatwe? Tanzania ipo consumer protection bureau?
 
Kama wanaweza kurudisha that means wanaweza vilevile kuongeza,kuna baadhi ya ofisi wanaweka mafuta kwa kuangalia kilometer zilizotembea so ni kuhujumu uchumi wa nchi,Ni kosa mwenye namba(0754 435988) hyo ashitakiwe haraka iwezekanavyo.....
 
Matatizo ya matangazo ya kihuni nchii hii yamekwishakuwa ya kawaida! Vituo cha daladala kila siku tunaona matangazo ya Maprofesa na Mabingwa wanaotibu UKIMWI; KANSA, Kufaulu bila kusoma nK!

Wahusika wamesinzia (au wananufaika na hii hali)
 
Hii ni hatari sana kwa usalama wa abiria na mazingira yetu, sumatra na mamlaka husika kuna haja ya kuwafuatilia maadui hawa, kama miongoni mwao ni wana JF poa, vinginevyo hata sisi tunaweza kuwasaidia kuwafichua hawa!!
 
Kama wanaweza kurudisha that means wanaweza vilevile kuongeza,kuna baadhi ya ofisi wanaweka mafuta kwa kuangalia kilometer zilizotembea so ni kuhujumu uchumi wa nchi,Ni kosa mwenye namba(0754 435988) hyo ashitakiwe haraka iwezekanavyo.....

kumpata ni rahisi sana kinachotakiwa ni kumtumia salio ambalo halipo,utapata ujumbe ambao unamtaja jina lake.
 
Bongo bwana, kila kitu hadi raia walalame ndio li gvt linakurupuka, unakuta mgari umechakaa, then unaambiwa hii imetembea km elfu tano
 
Ikiwa maendeleo ya nchi watu wanayarudisha nyuma na wanapeta ije kuwa hao wagonga ulimbo wa odometer!
 
Nina imani kuna jambo hili litapewa uzito unaostahili na serikali yetu ''sikivu''
Serikali yetu "sikivu" na yenye "mkono mrefu" ina masikio na mikono lakini haina meno wala macho...
 
MILAGE.png

Watu wana balls za kutangaza wazi wazi biashara ya kuchakachua rekodi ya matumizi/uchakavu wa gari, odometer reading, ukisikia "lawlessness" kwenye nchi ndo hii... Kwenye nchi zingine kurudisha nyuma odometer ni booooonge la crime!

Sasa tuseme jeshi zima la polisi na law enforcement wote kwa ujumla hamna hata mmoja mwenye exposure ya kujua maana ya odometer reading ? Kwa nini hawa watu wasikamatwe? Tanzania ipo consumer protection bureau?

wewe unashangaa kuona tangazo la kuchakachua ODOMETRE?! Sasa mitaani kuna watu wanajitangaza na kutafuta tenda za kuua.
 
Back
Top Bottom