Tanganyika vs Tanzania

Ungependa taifa letu libadili jina?


  • Total voters
    67
  • Poll closed .
Kuna wakati huwa ninajiona nina akili sana. Mimi ni kati ya watu wachache humu jukwaani niliyekuwa nina upinga muungano wa changu changu, chako changu hata kabla ya huyu Mzanzibari kuokota embe dodo chini ya mti wa mwarobaini. Na sijawahi kuwakubali Wazanzibari kwa sababu ninatofautiana nao kila kitu.

Lakini nashukuru pia mimi ni mmoja wa wananchi ambao tulipiga kura ya maoni ya kuunga mkono uwepo wa serikali 3, badala ya hii takataka tuliyoirithi tokea 1964.

Kiufupi huu muungano ni wa kipumbavu.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Nimekutana na hii video Vijana wa Kitanganyika walitakiwa kuonyesha vitambulisho vya Uzanzibari kama hawana wanapoteza kazi.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…