DolphinT
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 2,370
- 3,467
TLS kama chombo Cha kutetea Haki kitategemea kule ambako Haki inaonekana kuporwa. Na kuwakemea wanaopora.Raisi wa TLS yupo Hadi kwenye matangazo ya tone tone CHADEMA.
Pamoja na Haki ya kukosoa na kushauri, uongozi wa TLS haupaswi kuonyesha upande unaoegemea.
Unadhani ni sahihi TLS Kukaa kimya kuona Haki ya mtu kuishi inachukuliwa na polisi Kwa maelekezo ya RC na rpc? Na RCO?
