Tanganyika Law Society (TLS) ifutwe

Tanganyika Law Society (TLS) ifutwe

Labda ungetuambia majukumu yake ni yepi na kama wanaenda kinyume na sheria na majukumu yake.
LSK ya Kenya iliipeleka serikali na jeshi la polisi mahakamani kwa niaba ya vijana maGenzy walio tekwa, kuumizwa na wengine kuuwawa wakati wa maandamano ya kupinga kupitisha bajeti ya serikali na wameshinda kesi, serikali inatakiwa kuwafidia waathirika wale kila mmoja alipwe Ksh 200,000. Je TLS ikiwatetea wananchi wanakosea?
Au watu watekwe, wapotezwe, wauwawe kusikuwepo chombo chochote cha kuwatetea? Tuelimishe na sisi tujue majukumu ya Tls, labda pengine wanatakiwa kuendesha matamasha ya burudani lakini sisi hatujui.
Hana akili huyoo bora umempa Elimu. Anatakiwa akushukuru sanaa.
 
Ni kundi la uchochezi kushinda hata vyama vya siasa, hata usemaje wa wakuu wao hauna tofauti na watu wa chama kile, japo hujichekesha kuudanganya umma.

Mimi kama mimi naona hakina faida hata moja na kinawezekana kabisa kinatumika, mambo yao mengi wanayojidai wanayafuata huwa ni mikakati ya terehe za muda mrefu na kauli maarufu ...tunafuatilia...
Ikija nchi itawaliwe na mtu aliyetokea TLS probability nchi hiyo kuwa salama ni kubwa sana, maana itatawaliwa kisheria zaidi.

Angalia Marekani, wengi wa watawala hutokea mahali kama TLS
 
Ni kundi la uchochezi kushinda hata vyama vya siasa, hata usemaje wa wakuu wao hauna tofauti na watu wa chama kile, japo hujichekesha kuudanganya umma.

Mimi kama mimi naona hakina faida hata moja na kinawezekana kabisa kinatumika, mambo yao mengi wanayojidai wanayafuata huwa ni mikakati ya terehe za muda mrefu na kauli maarufu ...tunafuatilia...
Sasa mlisema Magufuli ni dictator,kufuta TLS sio u-dictator.Kwenu watu mlio na akili ndogo kila usichokitaka ni kibaya,hata kama walio wengi wanakitaka.Mkuu nikuambie hivii,TLS is one of the voices of the voiceless left baada ya vyombo vingine kutekwa na the Makunduchi Gang.Kwa Gang hii ilipotufikisha, there is no doubt we are heading towards Rwanda style Kimbari genocide or DRC War in which anybody against the Makunduchi Gang will be eliminated.Infact the genocide has already started.
 
Ni kundi la uchochezi kushinda hata vyama vya siasa, hata usemaje wa wakuu wao hauna tofauti na watu wa chama kile, japo hujichekesha kuudanganya umma.

Mimi kama mimi naona hakina faida hata moja na kinawezekana kabisa kinatumika, mambo yao mengi wanayojidai wanayafuata huwa ni mikakati ya terehe za muda mrefu na kauli maarufu ...tunafuatilia...
Wewe mwenyezi Mungu akufute kwanza Leo hapa Duniani. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Ni kundi la uchochezi kushinda hata vyama vya siasa, hata usemaje wa wakuu wao hauna tofauti na watu wa chama kile, japo hujichekesha kuudanganya umma.

Mimi kama mimi naona hakina faida hata moja na kinawezekana kabisa kinatumika, mambo yao mengi wanayojidai wanayafuata huwa ni mikakati ya terehe za muda mrefu na kauli maarufu ...tunafuatilia...
Mnaye Mwabukusi kwa miaka mingine 2 hivi. Yeyote anayetetea haki nchi hii CCM wanasema yupo upinzani
 
Ni kundi la uchochezi kushinda hata vyama vya siasa, hata usemaje wa wakuu wao hauna tofauti na watu wa chama kile, japo hujichekesha kuudanganya umma.

Mimi kama mimi naona hakina faida hata moja na kinawezekana kabisa kinatumika, mambo yao mengi wanayojidai wanayafuata huwa ni mikakati ya terehe za muda mrefu na kauli maarufu ...tunafuatilia...
Tukaifute kwanza BAKWATA
 
Mnataga sana , Ni akina nani juzi hapa walisema mkuu wao amelamba asali ? Manyani wasioona minanihino yao ,nikiandika ujue nimefuatilia wacha mstari hata ,yaani siku hizi unamsoma mtu kutokana na action zake kuanzia uso hadi miguu kila kitu,weka mbali mamaneno inawezekana anakuvisha kilemba cha ukoka.

Sipo upande wa chama chochote. ila hufuatilia vyama vyote .vikiwemo hivi mnavyoviona leo hii vina maana badala ya nyinyi kuwamock kuwa wamelamba asali ,wamelamba dume.

Hii TLS inajiona ndio serikali bibilia quran vyote vimesema tuheshimu mamlaka asie heshimu kama ana uwezo apindue akinukishe .

Huko kwa kukinukisha wacha ,maana alitaka kuwaangamiza wananchi ,wanaokinukisha hawapigi makelele wala kutangaza mikutanoni , TLS wameshindwa kusema ukweli hata kisingizio jambo lipo MAHAKAMANI ,
Je kabla ya hapo waliwahi kumkanya Lisu kuhusiano na kauli yake kuipindua Serikali Ya Jamhuri ya Tanzania .

Badala ya kutafuta njia za kumuombea Lisu msamaha mnataka kumuangamiza mkijua kuwa hatoki. Ibakie hatua Ya Raisi Samia tu kuzidi kuonyesha siasa si uadui ,lakini nyinyi waChadema ni maadui wakubwa sana wa Tundu Lisu ,leo hii Raisi akiamua kumuachia wengine mnaweza kufariki maana malengo ya kuichuku atena Chadema haipo,

Nikirudi TLS wajirekebishe katika kitalu chao na wasijione kama wao ndio wenye Dola,Serikali haipendezi ,wao hawana tofauti na supermarket /gurupu la watu liliopo wanaishi pamoja kushauriana katika maisha yao na kujinufaisha na mazingira ya kimaisha yanayowanguluka ndio hawa TLS ,mjuwe mlipowambia wamelamba asali basi mjue ni katika mazingira yakimaisha. Hawapo kwa ajili ya Taifa hili la Tanzania kama mlivyo nyinyi na CCM ndio na wao wapo kivyengine ,Lisu hakuwahi kuwemo humo wakapinduana katika kurina asali.

Ni kundi la uchochezi kushinda hata vyama vya siasa, hata usemaje wa wakuu wao hauna tofauti na watu wa chama kile, japo hujichekesha kuudanganya umma.

Mimi kama mimi naona hakina faida hata moja na kinawezekana kabisa kinatumika, mambo yao mengi wanayojidai wanayafuata huwa ni mikakati ya terehe za muda mrefu na kauli maarufu ...tunafuatilia...

Wewe kwa kuwa ni mwendawazimu, endelea kuropoka. Huenda wewe ni miongoni mwa yale mashetani yanayotumwa kwenda kumwaga damu za watu, laana imeanza taratibu kwa kukuondolea akili.
 
Labda ungetuambia majukumu yake ni yepi na kama wanaenda kinyume na sheria na majukumu yake.
LSK ya Kenya iliipeleka serikali na jeshi la polisi mahakamani kwa niaba ya vijana maGenzy walio tekwa, kuumizwa na wengine kuuwawa wakati wa maandamano ya kupinga kupitisha bajeti ya serikali na wameshinda kesi, serikali inatakiwa kuwafidia waathirika wale kila mmoja alipwe Ksh 200,000. Je TLS ikiwatetea wananchi wanakosea?
Au watu watekwe, wapotezwe, wauwawe kusikuwepo chombo chochote cha kuwatetea? Tuelimishe na sisi tujue majukumu ya Tls, labda pengine wanatakiwa kuendesha matamasha ya burudani lakini sisi hatujui.

Haya huwa hayana akili. Hayawezi kukujibu maswali yako yanayohitaji akili.
 
Ni kundi la uchochezi kushinda hata vyama vya siasa, hata usemaje wa wakuu wao hauna tofauti na watu wa chama kile, japo hujichekesha kuudanganya umma.

Mimi kama mimi naona hakina faida hata moja na kinawezekana kabisa kinatumika, mambo yao mengi wanayojidai wanayafuata huwa ni mikakati ya terehe za muda mrefu na kauli maarufu ...tunafuatilia...
Kumbe
 
Kama tuna nia njema na nchi hii, ifutwe CCM kwanza ili tuanze upya. Matatizo yote chanzo ni CCM.
 
Ni kundi la uchochezi kushinda hata vyama vya siasa, hata usemaje wa wakuu wao hauna tofauti na watu wa chama kile, japo hujichekesha kuudanganya umma.

Mimi kama mimi naona hakina faida hata moja na kinawezekana kabisa kinatumika, mambo yao mengi wanayojidai wanayafuata huwa ni mikakati ya terehe za muda mrefu na kauli maarufu ...tunafuatilia...
Pole pole tutajua nani anafuta watu mtaani. Baada ya kufuta watu sasa mnahamia kwenye taasisi
 
Miafrika na demokrasia wapi na wapi? Tulilazimishwa tu na wazungu lakini sisi bado. Hata hao wazungu hiyo demokrasia yao ilipitia vipindi vya hekaheka kwanza. Sasa sisi vu bin vu eti demokrasia. Demokrasia ipi isiyo na mizizi kuanzia ngazi za familia na taasisi?

Afadhali hata mataliban na Wairaq waliokataa kuletewa haya mazingaombwe ya Demokrasia ya Kimagharibi. Kila jamii ifuate mkondo wake mpaka watakapoifikia demokrasia yao kulingana na mazingira, mila na desturi zao. Hiyo ndiyo itakuwa meaningful and relevant democracy kwa jamii husika.

Demokrasia hii ni mtego kwa nchi za Kiafrika!
 
Kwa kuogopa mabadiliko kila taasisi ,viongozi wa dini au mtu mnamuona mbaya kisa tu akitetea haki ,mabadiliko au kukosoa ......fanyeni kuua wote TLS ,UPINZANI ,WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU NA WAKOSOAJI WOTE ....mfanye mtakavyo ......Tumechoka na nyie bhana agharagjaaggg
 
Ni imani yangu kwamba tukipata katiba mpya hutokuwa una mawazo haya ,mawazo haya ni kwa kuwa unasaka uteuzi tu magap ni mengi na hayo ndiyo yanawachanganyq
 
Mungu anakosolewa na kina kiranga karibu kila siku na bado anawaacha wanadunda. Nyie mnajikuta kina nani?
 
Raisi wa TLS yupo Hadi kwenye matangazo ya tone tone CHADEMA.

Pamoja na Haki ya kukosoa na kushauri, uongozi wa TLS haupaswi kuonyesha upande unaoegemea.
 
KIuna watu wanaleta mada humu ndani, sijui hata kama wanapata muda wa research, maana naona kama utumbo tu
 
Ni kundi la uchochezi kushinda hata vyama vya siasa, hata usemaje wa wakuu wao hauna tofauti na watu wa chama kile, japo hujichekesha kuudanganya umma.

Mimi kama mimi naona hakina faida hata moja na kinawezekana kabisa kinatumika, mambo yao mengi wanayojidai wanayafuata huwa ni mikakati ya terehe za muda mrefu na kauli maarufu ...tunafuatilia...
Ni kweli ni wachochezi sababu wanachochea moto wa watu kujua Haki zao na kuwakumbusha Watawala wajibu wao katika nchi iliyokubali kuridhia mkataba wa Haki za binadamu (UDHR, 1948) na mwaka 1984 kuweka katika katiba kama the bill of rights..

Ni wachochezi kweli sababu wanachochea umma kujua kwamba katiba ni Sheria mama na kama Kuna Sheria, Amri au katazo lolote linakinzana na katiba ni batili na ni kukiuka katiba ya nchi inayosema Tanzania ni nchi ya Kidemokrasia inayoheshimu utawala wa Sheria na utawala Bora.

Ni kweli ni wachochezi wananchichea wananchi kujua na kuchukua hatua kwamba, katiba inaweka wazi kwamba msingi wa madaraka ya serikali utatoka Kwa wananchi na serikali itawajibika Kwa wananchi, na sio Ccm walete viongozi wanaowataka wao na kuwalazimisha wananchi kuwapokea Kwa kutumia tume ya uchaguzi, na polisi!

Mjinga mmoja wewe.
 
Back
Top Bottom