Tanganyika imerudi

Ndiyo irudiiiiiiiiiiiii....mi sijaiona nataka niione....sijui ina rangi gani.
 
Sasa Tanganyika ni koloni la Zanzibar ili Ipate Uhuru lazima Mkoloni Zanzibar ajitenge Muungano Ufariki . Pia Hili jina Tanzania ni jina Mali ya Tanganyika kwali Nyerere Ndie alikwenda nalo kwenye kuasisi Muungano,hivyo muungano Ukifariki Tanganyika inaweza kuitwa Tanzania tu ili pale UN wasihangaike kubadili jina . Wale wakoloni watabaki na jina Zanzibar sisi Bara pataitwa Tanzania a.k.a Tanganyika hilo jina Tanzania ni Mali halali ya Tanganyika .
CCM nao watabaki na jina lao?Au watairudisha TANU na Zanzibar wawe na ASP yao?
 
Tangazo!!!hadi sasa zaidi ya watanzania elfu 30 katika mitandao mbalimbali ya kijamii wamekubali tanganyika huru irudi naendelea kupokea maoni mbalimbali kutokana na status yangu,hadi sasa takwimu kamili nitatoa baada ya zoezi kukamilika,asante kwa kushiriki
 
Back
Top Bottom