Tanganyika imerudi

KWA WALE WAZALENDO WA TANGANYIKA HURU TUNAKUSANYA MAONI KUJUA NI WANGAPI WANAHITAJI NA WANGAPI HAWAHITAJI TANGANYIKA HURU.

ANDIKA NENO

a)NDIYO~TANGANYIKA HURU IRUDI.

b)HAPANA~TANGANYIKA HURU ISIRUDI.
Aisee bendera ya Tanganyika ilikuwa nzuri sana, ina maana bendera ya Tanganyika ndio ya Muungano waligeuza tu ulalo wa alama.
 
kwa wale wazalendo wa tanganyika huru tunakusanya maoni kujua ni wangapi wanahitaji na wangapi hawahitaji tanganyika huru.

Andika neno

a)ndiyo~tanganyika huru irudi.

B)hapana~tanganyika huru isirudi.

bendera ya zanzibar lazima itakuwa na jambia na mwezi kama ishara ya kuabudu majini
 
A. Irudi

Lakini hivi Tanganyika ilikuwa haina bahari? Maana rangi ya blue haimo kwenye bendera ya Tanganyika! Du itabidi tulipe hela yote ya bandari kwa waZenj kwa kutumia bahari yao........Just joking!
 
Back
Top Bottom