Mkuu jmushi1, hivi mwanga unapoingia kuna haja la kuuliza hatma ya giza? Hao walotutumbukiza gizani kwa kuanzisha serikali mbili na nchi mbili watajiju! Tanganyika, kama Tsunami, inarudi na watakaoleta za kuleta watasombwa na maji.
Nilijua wewe wa kwetu Nshomile kwa kuwa moja ya sifa kubwa kwetu kusoma na kuelimika. Ila nahisi nilikosea wewe ni kati ya vuvuzela lisilojitambua. Hujui hata asili yako aibu 45 milioni kuendeshwa na 1 milioni good. Wazenji wanaakili saaaaaana mmoja ni sawa na wadanganyika 45.
Basi bendera ya Tanganyika itakuwa na mtu msalabani akisulubiwa kama ishara ya kumuabudu mwanadamu mwenzako aloshindwa kujisaidia.... Haya tia kura ya ndio apo mpate kuweka iyo bendera
Wazanzibari ni wenyeji hapa Dar-es-salaam kuliko nyinyi mliotoka sengerema, tukuyu na dongobeshi huko. Tuachieni ndugu zetu wazanzibar, na undugu wetu na wazenji haukuletwa na muungano, na utaendelea kuwepo hata baada ya Muungano.