GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,865
“Inasemekana” zipo katika aya sita.Inasemekana
Inasemekana
Inasemekana ...
Sasa tuwekee ushahidi wa hizo habari ulizosema inasemekana
Sijui! Nini kilimpata Okello baada ya Mapinduzi?Kwa hiyo John Okello alitumwa na akina Nyerere au?
Muwatawale kwa mabavu, na huduma muhimu walipie?Wazanzibar watuombe msamaha kwa kutumia umeme wetu bure
Umwambie Samia na Mbarawa na mawaziri wa Zanzibar waliopo serikali ya muungano kwamba muungano uvunjwe sasa hawatakubali ila baada ya wao kustaafu tena shingo upande manake wana mali nyingi bara.Inawezekana, kama Zanzibar ingekuwa na uwezo, ingeshajitoa kwenye Muungano. Kuenedelea kwake kuwepo kwenye Muungano ni kwa sababu tu inalazimishwa na Tanganyika.
Tanganyika ipo tayari kuipa Zanzibar uhuru wake?Umwambie Samia na Mbarawa na mawaziri wa Zanzibar waliopo serikali ya muungano kwamba muungano uvunjwe sasa hawatakubali ila baada ya wao kustaafu tena shingo upande manake wana mali nyingi bara.
*Tanganyika - CCMTanganyika ipo tayari kuipa Zanzibar uhuru wake?
Tatizo ni kwamba Zanzibar hawataki kujitegemea na wanapenda vya bure kutoka Tanganyika. Bajeti ya Zanzibar inatoka bara la sivyo Zanzibar wangekuwa wameshavunja muungano kitambo.Tanganyika ipo tayari kuipa Zanzibar uhuru wake?
Inasemekana, Wazanzibar wanatamani kuwa huru, hata leo ikiwezekana. Tatizo ni Tanganyika ndiyo haitaki kuwatejeshea uhuru wao!Muhimu wazanzibari sasa wajitegemee, tumechoka kuwalea vilaza wale.
Sii kweli!, baada ya yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Manowari za Uingereza zilitia nanga Mombasa tayari kuivamia Zanzibar, kuikomboa. Karume akaja kwa Nyerere kuomba ulinzi, ndipo, Nyerere akamshauri Karume tuungane kuwa nchi moja, Karume akajibu hata leo, wewe Rais mimi Makamo.Tulichofundishwa shuleni kuhusu Muungano, ni tofauti na ninayoyasikia Sasa!
Inasemekana, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar haikuwa takwa la wananchi, bali la Karume na Nyerere, lakini zaidi, Nyerere.
Sii kweli, huo ni uongo wa wapinga Mapinduzi Matukufu, ukweli ni huu Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee SukariInasemekana, hata yale yanayoitwa Mapinduzi Tukufu ya Zanzibar, yalikuwa ni mauaji katili, na yaliratibiwa na kusaidiwa, kwa sehemu kubwa, na Tanganyika. Hata silaha zilizotumika kwenye mapinduzi zilitoka Tanganyika.
Sii kweliInasemekana, mapinduzi hayakulenga kumwondoa Mwarabu, bali Serikali halali kwa lengo la kukiweka madarakani Chama kilichokuwa kikiungwa mkono na Tanganyika.
Sii kweliInasemekana, tokea mfumo wa Vyama vingi uanze, chama kinachoungwa mkono na Tanganyika kimekuwa kikishinda uchaguzi bila ridhaa ya wapiga kura. Kwamba kishinde kisishinde, lazima kiingie madarakani, maadam tu kinaungwa mkono na Tanganyika.
Sii kweli, Zanzibar ilikuwa sehemu ya Tanganyika kabla haijamegeka!. Hivyo ni sehemu yetu kihalali kabisa!.Inasemekana, hata huu Muungano uliopo kwa sasa si Muungano bali ni Ukoloni. Kwamba Tanganyika inaitawala nchi nyingine kimabavu.
Sii kweliInawezekana, kama Zanzibar ingekuwa na uwezo, ingeshajitoa kwenye Muungano. Kuenedelea kwake kuwepo kwenye Muungano ni kwa sababu tu inalazimishwa na Tanganyika.
ni kweli ila mengine ni ya kweli, mengine ni ya uongo!Yameshasemwa mengi na kuandikwa mengi.
Si kweliUungwana ni vitendo. Ikiwa hayo yote yanayosemwa ni kweli, basi Zanzibar wana haki ya kuulakamikia Muungano.
Na kama ni uongo?.Kama ni kweli, nini kifanyike?
Uungwana ni vitendo ni kweli kuna ndivyo sivyoMosi, Tanganyika iiombe radhi Zanzibar kwa yote inayoamini imeitendea Zanzibar ndivyo isivyo, na kwa yale ambayo Zanzibar inailalamikia.
Naunga mkono hoja na hata mimi hili nilishauri Wanzanzibar amueni moja, ama acheni kelele za muungano!, ama pigeni Kura ya Maoni, muamue mojaPili, kura ya maoni iitishwe kwa wananchi wa nchi ya Tanganyika na Zanzibar kuamua juu ya mustakabali wa Muungano.
Hapa tuko pamoja.Tatu, maamuzi ya wananchi yaheshimiwe.
Tusianze kubeza muungano. Tujikite kwenye hoja za kujenga nchi yetu ya TanzaniaWazanzibar watuombe msamaha kwa kutumia umeme wetu bure
Mioyo ya Wazanzibar ilishaukataa Muungano siku nyingi. Tuko nao kimwili lakini si kifikra.Tatizo ni kwamba Zanzibar hawataki kujitegemea na wanapenda vya bure kutoka Tanganyika. Bajeti ya Zanzibar inatoka bara la sivyo Zanzibar wangekuwa wameshavunja muungano kitambo.
Viongozi kutoka Zanzibar hata rais wa Zanzibar ndio wanaojua madhara ya kuvunja muungano, hao wengine wanajisemea tu. Zanzibar haijaweza bado kujitegemea kifedha siku wakiweza muungano utavunjika hapo hapo!Mioyoni ya Wazanzibar ilishaukataa Muungano siku nyingi. Tuko nao kimwili lakini si kifikra.
Ughaibuni huwa wanajitambulishaje? Mtanzania? Dhubutu!!!
Wanaojiita Watanzania ni Watanganyika. Mzanzibar akiwa ng'ambo hajiiti Mtanzania, bali Mzanzibar!!!