Tanganyika ifikirie kuinunua Zanzibar kama option ktk suluhisho la muungano

Pro CDM wakati mwingine huwa mnapenda sana ku-cross line kama wafanyavyo akina Makonda!... Ni "vema mkafikiria kwanza kabla ya kutenda kuliko kutenda kwanza ndipo mfikirie" by Mkombozi wa ukweli, Shujaa wetu wa Ukweli LEMA...
 
Zanzibar ilidhike na inachopa pata, ulinzi msaada wa kuendesha serikali ya muungano, viongozi wa Zanzibar ile hali hakuna watanganyika etc. tama ya Zanzibar, Tanganyika haiwezi kumudu zaidi ya hapo, wasiwe kama watoto ile hali ni watu wazima.
 
suluhisho ni kuwanunua tu ili wawe mkoa wa TANGANYIKA .
 
unanunuaje eneo lako la bahari?? international laws, zanziba ipo kwenye bahari ya Tanganyika, ni watanganyika wa mkoa wa Zanzibar tangu awali, ubaguzi wa rangi ndo unatusumbua hadi leo
 
fikirikwanza,,
Hii Id haikupi sifa maana kama kawaida yenu mnasema kama CD za Bilicanas hamfikiri kabla ya kusema.
Kila mkileta utumbo wenu hapa ndio mna risk kukosa uhalali wenu kuwepo kama chama cha siasa nyinyi misukule ya Chadema. Sisi weapon yetu ni kuwashawishi au kuwadhibiti wadhamini wenu 200 wa Zanzibar kujitoa CDM before 2015 na tunao iwezo huo.
 
Last edited by a moderator:
Viroba kazini!
Watuw anaweza shangaa ila huo ndio ukweli..Hii si mwanzo ktk dunia mataifa kununua vipande vya ardhi,kununua visiwa etc.na kuwapa wakazi wake waishi ila liwe chini ya nchi iliyonunua. Hii ni sehemu ya suluhu pia..Watu wapige mahesabu ya vipande vya ardhi....na thamani ya eneo husika.Wapewe hela zao...halazi zenji iwe mkoa wa Tanganyika....
 
itakua poa sana
 
Kainunuenu Israel wewe Myahudi Mweusi wanawapenda sana kule Telaviv, tena unabana pua eti "inhtakunhwa ponhwa" mfsssssss!

utake usitake zanzibar haitoki na muungano hauvunjiki ng'o na kwa taarifa yako tunaanzisha ubalozi rasmi hapa Tanzania na Israel. Kama unataka kupoza machungu yako kajinyonge mbuzi katoliki weye.
 
Kwani mkiufunguwa huo ubalozi ndio nini, kashindwa Baba yako Nyerere kuimeza Zanzibar mtaweza nyinyi, ni mwiba umewakaa na roho safari hii mtautema na makoromeo yanawatoka. Mbuzi wa mzungu wewe! Teh teh teh
 
usipost kitu chcochote kama umebugia mbege au gongo.

Back
Top Bottom