Ongezeko la watu Zanzibar: Sababu ni CCM kuingiza wapiga kura kutoka nje ya visiwa

aleesha

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
776
1,121
Asalamu aleikhum Ndugu Wazanzibari wa Ndani na Nje ya Visiwa vyetu adhimu. Ama mimi sina budi ila kumshukuru Allah kwakunipatia Uzima Afya na pumzi yakuweza kuandika Makala hii tena yenye kichwa cha Habari cha Ongezeko la Watu Zanzibar.
Nimeweza kufuatilia kwa Undani campeni zinazopigwa na Watu wa Uzazi wa Mpangilio WUNFP pamoja na Serikali ya SMZ. Na sasa wanawake kusaidiwa na Wanasiasa haramu waliojiweka Madarakana kwa Tamaa zao za Kidunia na kuto Kutosheka na Dunia. Nimemuangalia dada yangu Amina Salimu Ali akielezea Mikakati ya ku Cantrol Over population in Zanzibar. Na kuwataka Wazanzibari Wanawake na Wanaume Wafanye Uzazi wa Mpangilio ili waweze kujiletea Maendeleo kwa Urahisi.
Amina Salumu Weye ni Msomi uliekwisha kaa Madarakani miaka inafika 25 sasa. Hivo Unaona Watu Milioni 1.8 ya Wazanzibari ndio inayozuia maendeleo yenu?
Au ni Mfumo Wenu wa Siasa Finyu, za Kibaguzi na zisizo na Vission wala Mipango ya Kimaendeleo ndio Inayorudisha Nyuma Maendeleo ya Jamii na kuipa Mzigo Serikali?
Tafadhali Tunakustahi dada, usijekutufanya Tukakupiga Kibao hadharani kama Alivofanywa Mnafiki Mwenzako Mzee RUKSA (Ali Hassan Mwinyi).
Amina Salimu Ali ameeleza hasara zinazopatikana kwenye Serikali nakutoa sababu mbali mbali ikiwemo ya kutokuwa na Uzazi wa Mpangilio yaani (Family Program). Population aliokusudia Amina Salumu Ali ni Wazanzibari kuzaa sana na Sio ya Wageni Kutoka Tanganyika na Nchi nyengine za Africa Mashariki na Kati ambo wanahamia hapa nakupatiwa Identity za Kizanzibari na kuzaana na hatimaye kuvimaliza Visiwa na Identity yake.
Kinachonishangaza mimi ni kwamba hivo Waziri huyu aliejiweka kwenye Serikali ya JECHA SALUM JECHA amesahau miaka 20 iliopita?
Wakati Yeye akiwa katika Serikali ya Salimini Komandoo ambao ulikuwa ni utawala wa awamu ya 5 ya, ndio ulioanzisha rasmi ongezeko la watu kutoka Mrima na Unyikani kuingia Visiwani? Kwa mfano eneo la Kiembesamaki na Chukwani linaonyesha wazi wazi kwamba kuna Watanganyika wengi ambao walichukuliwa katika kipindi cha Awamu mbili za Komandoo na awamu mbili za Masharubu na akina Mansoor Yusufu Himidi.
Watu hawa walianza kuja na watoto wao, wake na waume zao na baadae wakaanza kutuletea na VICHAA wao na Omba omba wao- ambao wanazurura katika Mji mkongwe wa Zanzibar na mitaa mengine ya Ngambo. Waswahili wanasema “…nyumba ikiwa mlango wazo hata MBWA hujitia ndani…” Hio ndio Zanzibar ya leo. Wameona Zanzibar ndio mama huruma sasa hata wendawazimu kutoka Tanganyika Kenya na Congo hutiwa Melini na kutupwa katika Visiwa vya Zanzibar. Ukilitizama hili ktk mipango ya maendeleo ya Nchi, miaka 20 yakuingiza wageni wasiojiweza sio kidogo. Hii nikutokana na wageni hawa wengi walianza kuzaliana hapa Visiwani bila yakujali kwamba hivi ni Visiwa ambavyo havina maeneo ya kutosha wala huduma zakuhudumia Over population.
Wageni hawa waliokuwa hawazalishi chochote kile ambacho kinaongeza pato la uchumi wa taifa yaani GDP offcourse huduma za maendeleo na social walfare inakuwa mbaya. Wageni wa kuibeba CCM na Mfumo wao Kristo kazi zao ni Umalaya, Ujambazi, kugombanisha Wazanzibari na ukimuona huyo aliepata kazi basi atakuwa amepata kazi katika sehemu za muungano kama vile poster, TRA, Jeshi, Polisi n.k. Au wengine huishia kuuza KARANGA, agent wa TIGO, HALOTEL na ZANTEL pale Darajani. Wageni hawa hupatiwa nyumba za bure ambazo nyingi zao ni nyumba za Viongozi wa SMZ-CCM ambao wamejikusanyia Mashamba ya watu na kujikatia viwanja nakujenga majumba ambayo hawana haja nayo ila kuchumia moto. Ndugu Mzanzibari ukitaka kujuwa wanachokula Wazanzibara ni fedha za walipa kodi wa Kizanzibari na za ZFS ambazo huchotwa na viongozi wa CCM.
Amina Salum Ali hawakulifikiria tatizo hilo, wao walichokitaka ni CCM na SMZ kuendelea kubakia madarakani hata kama Visiwa vitakua havina hata pakuvutia pumzi.
Baadhi ya viongozi wenye uzalendo wameliona tatizo hili na walikua wakipigia kelele, lakini huambiwa wapinzani wa SMZ. Lakini huu ndio ukweli kwamba Serikali ya CCM Zanzibar imeingiza na mpaka sasa inaendelea kuingiza idadi kubwa ya wageni Visiwani na kujisahau kwamba hivi ni Visiwa ambavo Eneo na Ressources zake hazitoshi hata kuwaendeshea maisha wananchi wake. Achilia mbali kulisha Watanganyika, wakenya, Wacongo, Waganda na kuwaweka bure. Leo maeneo ya Fuoni , Kibele, Tunguu, Mwera, Mwanakwerekwe na hata Mjini hakuna amani tena kwa wageni wazururaji na omba omba. Na lakutisha zaidi sasaivi kumekuwa na Wacongo wengi ati huja kununua dagaa kule Pemba lakini wanaishi kiholela na immigration polisi /Serikali ya CCM inalijuwa hili.Watu hao hawakuwa wa kurudi tena walikotoka kwavile wao (Wageni) ndio wamekuwa wenye Visiwa (Wazanzibara) na wenye Visiwa ( Nartive Zanzibari) wamefanywa Wageni wakaazi. Tusione ajabu kusikia Visiwa hivi vimepata maradhi ya EBOLA soon rather than later. Leo mumejisahau kwamba munapoiacha milango ya Visiwa wazi ni kwamba munaongeza population? Na mukiongeza population isio zalisha chochote ni kwamba munaibebesha Serikali Mzigo mkubwa na huduma za jamii kuwa duni?
Amina Salumu Ali umeshakaa Marekani na nina uhakika unajuwa ssystem ya ukuaji wa uchumi na huduma bora. Ukiangalia kama nchi nyengine za Africa na Ulaya wanakuwa na mfumo wa immigration control Mfano nenda hapo Kenya, Burundi na Ruwanda, hawataki upuuzi wakuingiliwa na wageni ovyo ovyo au kuuza maeneo yaokwa wageni. Hata mtu awe anatoka hapo Tanganyika, basi kuingia katika visiwa nilazima mtu huyo ahojiwe anakuja kufanya nini? Lakini leo wanaohojiwa na kuzuiwa Aiport au bandarini ni wale Wazanzibari Nartive waliokuwa na uraia wa kigeni. Leo Hii Serikali haramu ya CCM Jecha Salum Jecha imeona maji yamewafika shingoni, wanaanza kulalamika ati Zanzibar ina Idadi ya Watu wengi kwasababu kina mama na kina baba hawataki Uzazi wa Mpangilio.
MAONI na USHAURI KWA WAZANZIBARI WOOTE WA UNGUJA NA PEMBA.Ni marufuku kwa Mzazibari yoyote yule alie Muislamu kufanya Uzazi wa Mpangilio. Hii nikwasababu kwamba Population ya Waislamu inazidi kushuka siku hadi siku hasa katika Visiwa Vyetu na Kuchukuliwa na Population ya Wakristo na watu wa Medhehebu Mengine. Hivo tunatakiwa KIDINI tuachane na Mfumo Kristo ambao Ndio Ulioanzisha Ku Control Idadi ya WATU hasa katika Nchi za KIISLAMU. BIRTH CONTROL history haikuja Ki- Humaniterian bali imekuja kwa ajili yakupunguza populationa ya Waislamu na Sio jengine.
P Pillers au Dawa za Uzazi wa Mpangilio Sio Salama: Ni Marufuku kwa kila Mzanzibari aliekuwa Muslamu kuacha mara moja kutumia Dawa za PP au LUP, Au Kuchoma Shindano za Majira. Dawa hizi zoote niliozitaja zina SIDE IFFECT yaani zina matatizo yakukuza Saratini katika Muili wa Binaadamu kama vile CANSER ya Fuko la Uzazi n.k. Hata hao Wazungu Wenyewe siku hizi hawatumii Uzazi wa Mpangilio Tena Wana njia zakuziba Fillopian Tube na baadae huifungua kwa kufanya Miner Operation.
Nawaomba Wanawake na Wanaume wa Kizanzibari musiruhusu Wake zenu Kupangiwa Uzazi. Hio ni Agenda ya Mfumo Kristo Kutaka Kupunguza Idadi ya Waislamu Visiwani. Na Ushahidi Upo. Tumeona Ongezeko la Wanyamwezi wenye Madhehebu ya Kikristo Wakivamia maeneo ya TUNGUU. Vitongoji Pemba, Makangale. Pwani Mchangani, Fumba na sehemu nyingi nyengine amabzo hiupata Magofu ya Bure ya Viongozi wa CCM.
Uzazi wa Mpangilio sio suluhisho lakutatua matatizo ya kijamii nakuipunguzia Serikali gharama, Uongozi bora na usiokuwa na Rushwa ukisaidiwa na ubunifu wa Kazi na miundo Mbinu ndio Suluhisho la Kupunguza matatizo ya Jamii. Since our population in Zanzibar are less than 2 million. Mfumuko wa Watu Ni Uongozi haramu ulioweka viongozi Wasiokuwa na Uzalendo wala Vission ya Maendeleo ya Visiwa Vyao.
Population hii iliozidi inachangiwa na Ndugu zetu wa Damu ambao Wanamiminika ( ATI) kuja kutafuta maisha Bora Zanzibar. Nashangaa MaTI KUOMBWA SANDA. Ikiwa Tanganyika Maisha ni Magumu bac Visiwani yamezidi Ugumu zaidi. Zamani Watanganyika Waliofeli Madarasa ya Saba Wakija Visiwani Kupata Elimu ya Bure . Sasaivi Kila kitengo Cha Biashara kinachukuliwa na Watanganyika na hatimaye Kuimaliza population ya Watu Wacahache wa Kizanzibari Waliobakia.
Chonde Chonde Wazanzibari na Uzazi wa Mpangilio. Njaa mulionayo na Matibabu Mabovu pamoja na Udhalimu Unaofanywa na Serikali Haramu hamutoweza Kuishi hata miaka 2 kama mutajitia Ujuwaji wakula MAJIRA. Chonde Chonde Wazanzibari.
ZAANENI ILI TUWE WINGI tuvilinde Visiwa Vyetu. Hao wanaokaaa kwenye Majukwaa Wakawapigia Kelele Uzazi Wa Mpangilio Wana Interest Zao katika Serikali Hii Haramu na Sio kama Wanawatakia Kheri Wazanzibari na Visiwa vya Zanzibar
 
akili mufilisi hizi tatizo hamjatulia maanani elimu nyie zenji
zaeni kama panya muone athari baadae
 
Na mimi nina plan kwenda huko at the end of this month. Tafadhali nisichukuliwe kama mmoja wa hao wamluki.
 
Mazee Zanzibari mbona Wamakonde na Wanyamwezi kibao wako huko wamelowea tangu enzi za utumwa na kabla?

Tukisema kila mtu arudi kwao patabaki nani hapo?

Dunia nzima kiujumla watu wanaongezeka, si Zanzibar.

Wajanja wanajua kutumia ongezeko la watu kukuza uchumi, kaangalie Singapore watu wa dunia nzima walivyojaa, lakini wote wanapiga kazi, wewe unalalmikia identity ya Zanzibar identity gani? Unataka Zanzibar ibaki kama vipi?
 
akili mufilisi hizi tatizo hamjatulia maanani elimu nyie zenji
zaeni kama panya muone athari baadae
Mbona nchi ya Japan hayo matatizo ya kuzaa sana hayaonekani..,wingi wa watu ni nguvu kazi,inategemea huo wingi wa watu wanatumika vipi,Nchi ya Nigeria ina watu wengi katika nchi ya Afrika,wingi wao wa watu umeifanya Waniegiria kuwa watu watajiri(mamilioneka) katika Afrika,..China ndio hivyo hivyo....

Usitake kupoteza ukweli,...Zaani Wazenji,usiwape nafasi mamluki kuchukua nchi yenu..
 
Mazee Zanzibari mbona Wamakonde na Wanyamwezi kibao wako huko wamelowea tangu enzi za utumwa na kabla?

Tukisema kila mtu arudi kwao patabaki nani hapo?

Dunia nzima kiujumla watu wanaongezeka, si Zanzibar.

Wajanja wanajua kutumia ongezeko la watu kukuza uchumi, kaangalie Singapore watu wa dunia nzima walivyojaa, lakini wote wanapiga kazi, wewe unalalmikia identity ya Zanzibar identity gani? Unataka Zanzibar ibaki kama vipi?
Mkuu nenda Singapore basi na wewe ukapige kura ya kumchagua Raisi kama itawezekana!!Mwandishi halalamiki ujaji wa watu kutoka nje ya Zanzibar anacholalamika ni wanasiasa wa Zanzibar kuwaingiza watu mamluki kwa manufaa yao wakisingizia kuwa wazanzibari wanazaana sana...

Nchi bila ya kudhibiti watu wake na kujua nini wanafanya vipi itawasaidia basi itakuwa sio nchi hiyo,Identity ni kitu muhimu kwa kila nchi,inatakiwa Zanzibar ibaki kama Zanzibar,dini,utamaduni,mila nk
 
Unajuaje siko Singapore na sipigi kura ya kumchagua rais?

Unaposema nchi bila kudhibiti watu wake na kujua nini itafanya kuwasaidia, hilo linahusisha uzazi wa mpango pia au halihusishi? Hueleweki,unaponda habari za uzazi wa mpango halafu unasisitiza ulzimaw anchi kudhibiti watu wake?

Maandishi ya mtoa mada yamejaa manenoya kejeli kuhusu watu wanakwenda Zanzibar kutoka "Unyikani", kwanini yasitafsiriwe kama mtu asiyetaka wahamiajiwanaokwenda Zanzibar kufanya kazi kutoka bara?

Muandishi hajajua anachotaka ni kipi, anajichanganya, hajui hata kuandika.

Atafute elimu kabla ya kurukiakulaumu watu.

Dunia nzima ina changamoto ya idadi ya watu, si Zanzibar tu.
 
Mazee Zanzibari mbona Wamakonde na Wanyamwezi kibao wako huko wamelowea tangu enzi za utumwa na kabla?

Tukisema kila mtu arudi kwao patabaki nani hapo?

Dunia nzima kiujumla watu wanaongezeka, si Zanzibar.

Wajanja wanajua kutumia ongezeko la watu kukuza uchumi, kaangalie Singapore watu wa dunia nzima walivyojaa, lakini wote wanapiga kazi, wewe unalalmikia identity ya Zanzibar identity gani? Unataka Zanzibar ibaki kama vipi?
Wamakonde na Wanyamwezi,wamanyema,wazigua,wayao,wandegereko,wazaramo,wasomali,wangazija,warabu,wahindi,
wadigo,Wairani,Waajemi.....Mchanganyiko wa hayo makabila ndio yameleta utamaduni na mila zinazoitwa za kiwaswahili,hao ndio wazanzibar.,...na itabakia kuwa hivyo

Waingereza,Waarish,waskotish na mataifa mengine ya ulaya watu wake walikwenda Marekani na kuunda utawamaduni na mila za Kimaarekani,Trump baba ake ni Mskotish,lakini kenda Uingereza kama Mmarekani sio Mskotish...
 
Asalamu aleikhum Ndugu Wazanzibari wa Ndani na Nje ya Visiwa vyetu adhimu. Ama mimi sina budi ila kumshukuru Allah kwakunipatia Uzima Afya na pumzi yakuweza kuandika Makala hii tena yenye kichwa cha Habari cha Ongezeko la Watu Zanzibar.
Nimeweza kufuatilia kwa Undani campeni zinazopigwa na Watu wa Uzazi wa Mpangilio WUNFP pamoja na Serikali ya SMZ. Na sasa wanawake kusaidiwa na Wanasiasa haramu waliojiweka Madarakana kwa Tamaa zao za Kidunia na kuto Kutosheka na Dunia. Nimemuangalia dada yangu Amina Salimu Ali akielezea Mikakati ya ku Cantrol Over population in Zanzibar. Na kuwataka Wazanzibari Wanawake na Wanaume Wafanye Uzazi wa Mpangilio ili waweze kujiletea Maendeleo kwa Urahisi.
Amina Salumu Weye ni Msomi uliekwisha kaa Madarakani miaka inafika 25 sasa. Hivo Unaona Watu Milioni 1.8 ya Wazanzibari ndio inayozuia maendeleo yenu?
Au ni Mfumo Wenu wa Siasa Finyu, za Kibaguzi na zisizo na Vission wala Mipango ya Kimaendeleo ndio Inayorudisha Nyuma Maendeleo ya Jamii na kuipa Mzigo Serikali?
Tafadhali Tunakustahi dada, usijekutufanya Tukakupiga Kibao hadharani kama Alivofanywa Mnafiki Mwenzako Mzee RUKSA (Ali Hassan Mwinyi).
Amina Salimu Ali ameeleza hasara zinazopatikana kwenye Serikali nakutoa sababu mbali mbali ikiwemo ya kutokuwa na Uzazi wa Mpangilio yaani (Family Program). Population aliokusudia Amina Salumu Ali ni Wazanzibari kuzaa sana na Sio ya Wageni Kutoka Tanganyika na Nchi nyengine za Africa Mashariki na Kati ambo wanahamia hapa nakupatiwa Identity za Kizanzibari na kuzaana na hatimaye kuvimaliza Visiwa na Identity yake.
Kinachonishangaza mimi ni kwamba hivo Waziri huyu aliejiweka kwenye Serikali ya JECHA SALUM JECHA amesahau miaka 20 iliopita?
Wakati Yeye akiwa katika Serikali ya Salimini Komandoo ambao ulikuwa ni utawala wa awamu ya 5 ya, ndio ulioanzisha rasmi ongezeko la watu kutoka Mrima na Unyikani kuingia Visiwani? Kwa mfano eneo la Kiembesamaki na Chukwani linaonyesha wazi wazi kwamba kuna Watanganyika wengi ambao walichukuliwa katika kipindi cha Awamu mbili za Komandoo na awamu mbili za Masharubu na akina Mansoor Yusufu Himidi.
Watu hawa walianza kuja na watoto wao, wake na waume zao na baadae wakaanza kutuletea na VICHAA wao na Omba omba wao- ambao wanazurura katika Mji mkongwe wa Zanzibar na mitaa mengine ya Ngambo. Waswahili wanasema “…nyumba ikiwa mlango wazo hata MBWA hujitia ndani…” Hio ndio Zanzibar ya leo. Wameona Zanzibar ndio mama huruma sasa hata wendawazimu kutoka Tanganyika Kenya na Congo hutiwa Melini na kutupwa katika Visiwa vya Zanzibar. Ukilitizama hili ktk mipango ya maendeleo ya Nchi, miaka 20 yakuingiza wageni wasiojiweza sio kidogo. Hii nikutokana na wageni hawa wengi walianza kuzaliana hapa Visiwani bila yakujali kwamba hivi ni Visiwa ambavyo havina maeneo ya kutosha wala huduma zakuhudumia Over population.
Wageni hawa waliokuwa hawazalishi chochote kile ambacho kinaongeza pato la uchumi wa taifa yaani GDP offcourse huduma za maendeleo na social walfare inakuwa mbaya. Wageni wa kuibeba CCM na Mfumo wao Kristo kazi zao ni Umalaya, Ujambazi, kugombanisha Wazanzibari na ukimuona huyo aliepata kazi basi atakuwa amepata kazi katika sehemu za muungano kama vile poster, TRA, Jeshi, Polisi n.k. Au wengine huishia kuuza KARANGA, agent wa TIGO, HALOTEL na ZANTEL pale Darajani. Wageni hawa hupatiwa nyumba za bure ambazo nyingi zao ni nyumba za Viongozi wa SMZ-CCM ambao wamejikusanyia Mashamba ya watu na kujikatia viwanja nakujenga majumba ambayo hawana haja nayo ila kuchumia moto. Ndugu Mzanzibari ukitaka kujuwa wanachokula Wazanzibara ni fedha za walipa kodi wa Kizanzibari na za ZFS ambazo huchotwa na viongozi wa CCM.
Amina Salum Ali hawakulifikiria tatizo hilo, wao walichokitaka ni CCM na SMZ kuendelea kubakia madarakani hata kama Visiwa vitakua havina hata pakuvutia pumzi.
Baadhi ya viongozi wenye uzalendo wameliona tatizo hili na walikua wakipigia kelele, lakini huambiwa wapinzani wa SMZ. Lakini huu ndio ukweli kwamba Serikali ya CCM Zanzibar imeingiza na mpaka sasa inaendelea kuingiza idadi kubwa ya wageni Visiwani na kujisahau kwamba hivi ni Visiwa ambavo Eneo na Ressources zake hazitoshi hata kuwaendeshea maisha wananchi wake. Achilia mbali kulisha Watanganyika, wakenya, Wacongo, Waganda na kuwaweka bure. Leo maeneo ya Fuoni , Kibele, Tunguu, Mwera, Mwanakwerekwe na hata Mjini hakuna amani tena kwa wageni wazururaji na omba omba. Na lakutisha zaidi sasaivi kumekuwa na Wacongo wengi ati huja kununua dagaa kule Pemba lakini wanaishi kiholela na immigration polisi /Serikali ya CCM inalijuwa hili.Watu hao hawakuwa wa kurudi tena walikotoka kwavile wao (Wageni) ndio wamekuwa wenye Visiwa (Wazanzibara) na wenye Visiwa ( Nartive Zanzibari) wamefanywa Wageni wakaazi. Tusione ajabu kusikia Visiwa hivi vimepata maradhi ya EBOLA soon rather than later. Leo mumejisahau kwamba munapoiacha milango ya Visiwa wazi ni kwamba munaongeza population? Na mukiongeza population isio zalisha chochote ni kwamba munaibebesha Serikali Mzigo mkubwa na huduma za jamii kuwa duni?
Amina Salumu Ali umeshakaa Marekani na nina uhakika unajuwa ssystem ya ukuaji wa uchumi na huduma bora. Ukiangalia kama nchi nyengine za Africa na Ulaya wanakuwa na mfumo wa immigration control Mfano nenda hapo Kenya, Burundi na Ruwanda, hawataki upuuzi wakuingiliwa na wageni ovyo ovyo au kuuza maeneo yaokwa wageni. Hata mtu awe anatoka hapo Tanganyika, basi kuingia katika visiwa nilazima mtu huyo ahojiwe anakuja kufanya nini? Lakini leo wanaohojiwa na kuzuiwa Aiport au bandarini ni wale Wazanzibari Nartive waliokuwa na uraia wa kigeni. Leo Hii Serikali haramu ya CCM Jecha Salum Jecha imeona maji yamewafika shingoni, wanaanza kulalamika ati Zanzibar ina Idadi ya Watu wengi kwasababu kina mama na kina baba hawataki Uzazi wa Mpangilio.
MAONI na USHAURI KWA WAZANZIBARI WOOTE WA UNGUJA NA PEMBA.Ni marufuku kwa Mzazibari yoyote yule alie Muislamu kufanya Uzazi wa Mpangilio. Hii nikwasababu kwamba Population ya Waislamu inazidi kushuka siku hadi siku hasa katika Visiwa Vyetu na Kuchukuliwa na Population ya Wakristo na watu wa Medhehebu Mengine. Hivo tunatakiwa KIDINI tuachane na Mfumo Kristo ambao Ndio Ulioanzisha Ku Control Idadi ya WATU hasa katika Nchi za KIISLAMU. BIRTH CONTROL history haikuja Ki- Humaniterian bali imekuja kwa ajili yakupunguza populationa ya Waislamu na Sio jengine.
P Pillers au Dawa za Uzazi wa Mpangilio Sio Salama: Ni Marufuku kwa kila Mzanzibari aliekuwa Muslamu kuacha mara moja kutumia Dawa za PP au LUP, Au Kuchoma Shindano za Majira. Dawa hizi zoote niliozitaja zina SIDE IFFECT yaani zina matatizo yakukuza Saratini katika Muili wa Binaadamu kama vile CANSER ya Fuko la Uzazi n.k. Hata hao Wazungu Wenyewe siku hizi hawatumii Uzazi wa Mpangilio Tena Wana njia zakuziba Fillopian Tube na baadae huifungua kwa kufanya Miner Operation.
Nawaomba Wanawake na Wanaume wa Kizanzibari musiruhusu Wake zenu Kupangiwa Uzazi. Hio ni Agenda ya Mfumo Kristo Kutaka Kupunguza Idadi ya Waislamu Visiwani. Na Ushahidi Upo. Tumeona Ongezeko la Wanyamwezi wenye Madhehebu ya Kikristo Wakivamia maeneo ya TUNGUU. Vitongoji Pemba, Makangale. Pwani Mchangani, Fumba na sehemu nyingi nyengine amabzo hiupata Magofu ya Bure ya Viongozi wa CCM.
Uzazi wa Mpangilio sio suluhisho lakutatua matatizo ya kijamii nakuipunguzia Serikali gharama, Uongozi bora na usiokuwa na Rushwa ukisaidiwa na ubunifu wa Kazi na miundo Mbinu ndio Suluhisho la Kupunguza matatizo ya Jamii. Since our population in Zanzibar are less than 2 million. Mfumuko wa Watu Ni Uongozi haramu ulioweka viongozi Wasiokuwa na Uzalendo wala Vission ya Maendeleo ya Visiwa Vyao.
Population hii iliozidi inachangiwa na Ndugu zetu wa Damu ambao Wanamiminika ( ATI) kuja kutafuta maisha Bora Zanzibar. Nashangaa MaTI KUOMBWA SANDA. Ikiwa Tanganyika Maisha ni Magumu bac Visiwani yamezidi Ugumu zaidi. Zamani Watanganyika Waliofeli Madarasa ya Saba Wakija Visiwani Kupata Elimu ya Bure . Sasaivi Kila kitengo Cha Biashara kinachukuliwa na Watanganyika na hatimaye Kuimaliza population ya Watu Wacahache wa Kizanzibari Waliobakia.
Chonde Chonde Wazanzibari na Uzazi wa Mpangilio. Njaa mulionayo na Matibabu Mabovu pamoja na Udhalimu Unaofanywa na Serikali Haramu hamutoweza Kuishi hata miaka 2 kama mutajitia Ujuwaji wakula MAJIRA. Chonde Chonde Wazanzibari.
ZAANENI ILI TUWE WINGI tuvilinde Visiwa Vyetu. Hao wanaokaaa kwenye Majukwaa Wakawapigia Kelele Uzazi Wa Mpangilio Wana Interest Zao katika Serikali Hii Haramu na Sio kama Wanawatakia Kheri Wazanzibari na Visiwa vya Zanzibar
Unahitaji kurudia somo la mwaandiko.
 
Wamakonde na Wanyamwezi,wamanyema,wazigua,wayao,wandegereko,wazaramo,wasomali,wangazija,warabu,wahindi,
wadigo,Wairani,Waajemi.....Mchanganyiko wa hayo makabila ndio yameleta utamaduni na mila zinazoitwa za kiwaswahili,hao ndio wazanzibar.,...na itabakia kuwa hivyo

Waingereza,Waarish,waskotish na mataifa mengine ya ulaya watu wake walikwenda Marekani na kuunda utawamaduni na mila za Kimaarekani,Trump baba ake ni Mskotish,lakini kenda Uingereza kama Mmarekani sio Mskotish...
This is stating the obvious, it is neither here nor there.
 
Unajuaje siko Singapore na sipigi kura ya kumchagua rais?

Unaposema nchi bila kudhibiti watu wake na kujua nini itafanya kuwasaidia, hilo linahusisha uzazi wa mpango pia au halihusishi? Hueleweki,unaponda habari za uzazi wa mpango halafu unasisitiza ulzimaw anchi kudhibiti watu wake?

Maandishi ya mtoa mada yamejaa manenoya kejeli kuhusu watu wanakwenda Zanzibar kutoka "Unyikani", kwanini yasitafsiriwe kama mtu asiyetaka wahamiajiwanaokwenda Zanzibar kufanya kazi kutoka bara?

Muandishi hajajua anachotaka ni kipi, anajichanganya, hajui hata kuandika.

Atafute elimu kabla ya kurukiakulaumu watu.

Dunia nzima ina changamoto ya idadi ya watu, si Zanzibar tu.
Mkuu,mimi sikubaliani kuwa uzazi wa mpando ndio utaondoa umasikini,kwani nchi zote zenye "population" kubwa ndio zenye kuleta utajiri wa watu wake.mfano,Japan,China,Nigeria nk

Mkahawa wa McDonald walilipigania soko la China kwasababu ya wingi wa watu,Marekani soko la ndani tu linaweza kumfanya mtu akawa milonea,Watu ni utajiri kama utajua vipi kuwatumia

Wanasiasa wa Zanzibar ni ving´ang´anizi wa madaraka wanafanya kila mbinu na hila ili wabaki madarakani,sasa wamekuja na hila hizi Wazenji wamewashtukia,utawamabiaje raia wafanye uzazi wa mpango,wakati pembeni unaleta mamluki kwa maelfu ili wakuweke kwenye uongozi!?
 
Nani kasema uzazi wa mpango ndio utaondoa umasikini?

Mkahawa wa McDonald walilipigania soko la China kwasababu ya wingi wa watu,Marekani soko la ndani tu linaweza kumfanya mtu akawa milonea,Watu ni utajiri kama utajua vipi kuwatumia

Nani kasema uzazi wa mpango ndio utaondoa umasikini? Unaelewa mantiki ya uzaziwa mpango?

Wanasiasa wa Zanzibar ni ving´ang´anizi wa madaraka wanafanya kila mbinu na hila ili wabaki madarakani,sasa wamekuja na hila hizi Wazenji wamewashtukia,utawamabiaje raia wafanye uzazi wa mpango,wakati pembeni unaleta mamluki kwa maelfu ili wakuweke kwenye uongozi!?

Wanasiasa wa wapi si ving'ang'anizi?
 
Back
Top Bottom