Tanganyika hatuji kupata Rais bora kama Kikwete

Tanganyika hatuji kupata Rais bora kama Kikwete

ukiona kunaudin jua watu wa din fran wako vzury ktk uongoz
 
Salaam wanajukwaa,

Najua wengi mtabeza sababu ya hizi nguvu za soda wengine mtasema kwanini asiwe Nyerere na wengine bado wamekariri kare kanadharia ka Mkapa ndio alikuwa bora akifuatia kutoka kwa Nyerere na wengine na ambao niwengi zaidi bado wanaamin Mwinyi hakuwa bora.

Nianz na list ya marais kwa kuzingatia ubora;

1* Jakaya Kikwete
2* Ally Hassan Mwinyi
3* Mkapa Benjamin William
4* Magufuli Pombe Joseph
5* Nyerere Julius

Sitaki kuwa msemaji pekeyangu kwa hili karibuni tuchangie

Ukweli wa utafiti huu sio wote wataelewa leo Nwengine nauhakika wataelewa wakiwa wamekufa.
Mavi yako
 
utafiti wangu umebezi kwenye uhuru wa vyombo vya habari,biasharra,kuongea,vyama vya siasa....nk.nk
Sifa moja kubwa iliyokuwa inatakiwa kwa sasa ili nchi isonge mbele ni hii; Tulitaka rais MZALENDO NA MWENYE MAAMUZI ....Na Mungu Katupatia kipenzi Magufuli.......Hizo polojo zako usiseme ukiwa karibu yangu huenda nikakuchapa kwa hasira...
 
Salaam wanajukwaa,

Najua wengi mtabeza sababu ya hizi nguvu za soda wengine mtasema kwanini asiwe Nyerere na wengine bado wamekariri kare kanadharia ka Mkapa ndio alikuwa bora akifuatia kutoka kwa Nyerere na wengine na ambao niwengi zaidi bado wanaamin Mwinyi hakuwa bora.

Nianz na list ya marais kwa kuzingatia ubora;

1* Jakaya Kikwete
2* Ally Hassan Mwinyi
3* Mkapa Benjamin William
4* Magufuli Pombe Joseph
5* Nyerere Julius

Sitaki kuwa msemaji pekeyangu kwa hili karibuni tuchangie

Ukweli wa utafiti huu sio wote wataelewa leo Nwengine nauhakika wataelewa wakiwa wamekufa.
Huu utafiti sawa na wa UKAWA kwenye uchaguzi kuwa Lowassa angeshinda kwa 76% [emoji23]
 
utafiti wangu umebezi kwenye uhuru wa vyombo vya habari,biasharra,kuongea,vyama vya siasa....nk.nk
Sio uhuru wa vyombo vya habari tu, ni wa kila kitu. Huyu ametufikisha pabaya kabisa.
 
Ndugu yangu kikwete alikemea ufisadi sema walimkwamisha kwa makusudi kikwete ndie aliwafunga akina mlamba alimpeleka mkapa mahakamani mwa kesi ya maharu ila mfumo ulimzidi nguvu tunajua hilo
 
Ni kweli kwa mujibu wako, bila shaka mtoa mada alikua wale wa DC warembo walioteuliwa mwisho mwisho
 
Hakuwa na maamuzi kama raisi muwajibikaji.Ndo maana kila kitu hapa nchini ni kibovu.
 
Unaposema tukimkamata mwizi hela zitapotea hivi hizo ndo akili za raisi wa nchi!
 
Hehehehe hata kipofu anahisi uwepo wa Magufuli. Mtoto akizaliwa anahs uwepo wa Magufuli je yupi ni bora? J. Kikwete sijuwi kama yupo masikion mwa wa watu
 
kweli kabisa kikwete amefanya vizuri vingi tu ila kwa uzoba wa watanzania tunaona hatujafanyiwa kitu
kawaida ya binadamu ukimfanyia jema akija mwingine akafanya kuongezea yale yaliopita anamsahau yule wa kwanza juhudi alizomfanyia Ee MUNGU MBARIKI RAIS KIKWETE KWA WEMA WAKE ALIOTUFANYIA WATANZANIA NA TANZANIA YETI
 
hebu weka nyama kwenye vigezo ulivyotumia kwenye utafiti na fanya na ulinganisho hasa kwa awamu nne zilizopita kwa sababu awamu ya tano bado mbichi kabisa japo imeonyesha uelekeo wake

Wachangiaje wengine tutaanzia hapo
 
Migomba,jamaa tafiti take kaielekeza kwenye Uhuru wa vyombo vya habari ambapo ktk marais wote marais wawili wa mwisho kwenye list hiyo mambo ya uwazi ndo maana hatuangalii hata bunge live
 
Back
Top Bottom