Tanganyika chini ya mjerumani

Mdau nimeshindwa kubaini wanachofanya hawa....
wamepigwa minyororo hao tayari kwa kazi ngumu ya kushindilia barabara au njia ya reli kama sikosei..na bakora juu! and god knows how many walidhalilishwa kijinsia.
 
Mbona hali inarudia pale pale? ukiangalia kwa makini sana hakuna mabadliko yoyote. Bado madarasani watoto wako kwa shada sana wanasoma kwa uchungu mkubwa kwenye matofali. Kina Mama bado wanamifagio wanafagia barabara zetu kila siku kwa mateso makubwa sana....je hizi picture zinatufundisha nini?
 

Haswa ulcihonena mkuu !
 
mbaya zaidi hawa wazungu they have never apologized for what they did to our ancestors..
tulitakiwa tuwadai fidia kwa madhila ya kimwili na kijamii waliyowafanyia mababu zetu.

Ukitaka wa-apologize watafanya hivyo. Hata Ghadafi aliwalazimisha wakakubali kumlipa Euro Bil 5. Lasiki mwisho wa siku wakam-Ghadafi!
 
Hivi wanaomsifia mjerumani kwa kujenga reli wanafikiri aliijenga ili wamanyema wasafiri toka Kigoma mpaka Dar..??Ukweli ni kwamba alijenga Reli ili kurahisisha wizi wa raslimali alizokuwa akivuna katika koloni lake na wala tusifikiri elimu yake ilikuwa na lengo la kumkomboa mtanganyika,bali ilikuwa ni kuandaa watumishi watakaomsaidia kuiba vizuri, hivyo wanaomsifia mjerumani naomba waangalie upya lengo na madhumuni ya elimu ya mkoloni..Ni bora niwe maskini lakini niko huru kuliko kuwa tajiri nisiye na uhuru wangu..
 

Ningekuunga mkono, unfortunately kwa serikali hii ya magamba ni umaskini na kutokuwa huru kwa kwenda mbele! In that case bora mtu uwe mtumwa tajiri!
 
Prof Issa Shivji ajumatano kwamba kumbe ulr uhuru tulioupata ulikuwa siyo uhuru,tanganyika ilikuwa bado chini ya Malkia.
 
Kuna tofauti gani kati ya utumwa wa enzi hizo na huu tuliopo sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…