Tanga

Nyamgluu

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
3,160
1,719
Haya wadau nimekuja Tanga kwa GPS sijui A wala Be. Niliosikia ga tu waja leo ila kuondoka majaliwa. Nambie ni wapi pakwend shangaa shangaa.

Nimekuja for business AND pleasure.
 
Nimefanya quick field survey sehemu zote mbili. Asanteni wadau. Nitaleta mrejesho. Ila ndugu Amadoli chichi design inabidi niingie nikiwa nimevaa msalaba wa kukemea mapepo. Nyumbani hotel nafikiri ndio pakuanzia.
 
Last edited by a moderator:
Mh. Nahisi siku sio yenyewe. Naona mabondia tu. Nikalale.
 
ngoja wajanja wakupitie alafu uje unieleze nilikutuma kazi ama starehe???? fanya kilicho kupeleka alaaa!!!
 
Eti? TANGA nyumba mganga. nyumba inayofata anaishi shoga. Yaani Nyumba mganga nyumba shog.eti ni kweli ?
 
Back
Top Bottom