Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,506
- 11,439
2.Wanaume takribani asilimia 79 wenye umri zaidi ya miaka 50 wamewahi kufanya mapenzi na wanawake zaidi ya 300.!!!
Hapo pekundu ni typo ama ndio hali halisi?
2.Wanaume takribani asilimia 79 wenye umri zaidi ya miaka 50 wamewahi kufanya mapenzi na wanawake zaidi ya 300.!!!
Mambo yepi mkuu??? Be specific ili watu wenye uelewa na mkoa wa Tanga watoe maoni yao!!!!
Huwezi kusema wanawake wanawastani wa kufanya mapenzi mara 5 kwa wiki halafu ukasema asilimia 75 ya wanaume wa tanga wanawanawake wawili...
Kimantiki hata kimahesabu haingii akilini..
Fuatilia hotuba aliyotoa Dr.Fatma Mrisho mkurugenzi wa TACAIDS last week akiwa Tanga!!!!