Tanga Yavunja Rekodi za TACAIDS!

Tanga Yavunja Rekodi za TACAIDS!

Kha!!! Hao mababu wa 50 yrs old ku do na wanawake 300 ntachelewa kuamini hivi si watakua wanatambaa kama watoto maana nguvu zote kushnehi

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
mi nashindwa kuelewa why ukimwi hakuna kule kabisa nini uzibitisho
 
Kha!!! Hao mababu wa 50 yrs old ku do na wanawake 300 ntachelewa kuamini hivi si watakua wanatambaa kama watoto maana nguvu zote kushnehi

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Hizi takwimu hazina ukweli ndani yake
 
Mmh ni hatari ila nimechoka zaid hiyo ya wazee wa miaka 50 ambao wamewahi kufanya mapenzi na wanawake zaid ya 300. Ila ipo haja ya watu kubadilika.
 
Wadau hivi majuzi kuna takwimu za TACAIDS zimetolewa kuhusu mahusiano na maambukizi mapya katika mkoa wa Tanga,takwimu hizo zinaonyesha mambo yafuatayo;
1.Asilimia 75 ya wanaume wa Tanga wana wapenzi zaidi ya wawili.

2.Wanaume takribani asilimia 79 wenye umri zaidi ya miaka 50 wamewahi kufanya mapenzi na wanawake zaidi ya 300.

3.Wanawake wa mkoani Tanga wanafanya mapenzi katika wastani mara 5 kwa wiki.

4.Asilimia 69 ya wanawake mkoa wa Tanga wanajihusisha na ANAL SEX yaani kufanya mapenzi kwa njia ya haja kubwa.

5.Na mwisho ni kwamba Tanga ndo mkoa unaongoza kwa wasichana wadogo kujihusisha na mapenzi ie wanaanza kufanya mapenzi katika age ya 10 hadi 11.

SOURCE ; Report ya mwakilishi wa WHO aliyefanya kwa ushirikiano na TACAIDS(2012-2014)!!!

SASA WADAU MI NAOMBA TUJARIBU KUSHARE MAWAZO JUU YA SABABU HASA ZA TAKIMU HIZI,maana binafsi naona hali ni mbaya sana!!!!

Uzuri wa Tanga unaweza ukamgegeda mama mtu na wanaye kwa kila mmoja wao kwa muda wake au mtu na marafiki zake haswa ukionekana unazo na unajua kuhonga watakuja hao. Kuna jamaa enzi hizo tulikuwa tunamwita kipuli cha kazi, yeye alikuwa akiamua kwa siku 1 hata wanawake 4.
Hafu wakikujua kuwa unajua kugegeda napo utaipata maana kila msichana/mwanamke atataka ahakikishe.
 
Hizi sifa wanazopewa wanatanga kwmba wao wanayajua mapenzi ndizo zinazowapoteza watu,,waache kuendekeza ngono wajikite kwenye kufanya kazi
 
Alafu tanga ndio mkoa ambao watu wake wanavaa kistaarabu kwa wingi kuliko mikoa yote ya Tanzania bara
 
nakumbuka nliwahi tafuta guest Tanga kwa mara ya kwanza nlipoenda hapa barabara ya 19 ilikuwa bala kila guest nliyoenda zimejaa mpaka wengine wakawa wananiambia kama ni shorttime ipo ila nkawambia mmmgeni nkaambiwa nenda kaangalie barabara ya 1:Tanga wanatafunana sana
 
Alafu tanga ndio mkoa ambao watu wake wanavaa kistaarabu kwa wingi kuliko mikoa yote ya Tanzania bara

zile hijab wanazo vaa mchana hujajua usiku kuna nini tanga wanawake wamekaa kutegekategeka ..
 
Tahadhari lazima uchukue ila nahisi kuna mambo yamezidishwa chumvi..

Mambo yepi mkuu??? Be specific ili watu wenye uelewa na mkoa wa Tanga watoe maoni yao!!!!
 
Back
Top Bottom