Tanga wing mupoo??

amu karibu sana tanga....mi.nipo.mikanjuni
 
Last edited by a moderator:
labda wewe anaweza akakupa kaka mana mimi nimeomba mawasiliano yake tangu jana hadi mida hii sijapewa. Au hataki nikamuone mgonjwa wake.

Atakuwa anaogopa kung'olewa kucha! Haha

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums.
 
Hahaha ati sayansi mwitu! Hiyo inaitwa cleaner transportation. So it is the most suitable kupambana na global warming. Huku nkoarua ndo natuka nayo daily kuja job, hata parking sio issue
Nasi tulivyoona bei ya ngwese inapaa daily tumeachana na matumizi yasiyo na ulazima tumeahamia zetu kwenye usafiri wa ungo kitambo! Daadadeki sayansi mwitu hiyo!!
 
Hahaha ati sayansi mwitu! Hiyo inaitwa cleaner transportation. So it is the most suitable kupambana na global warming. Huku nkoarua ndo natuka nayo daily kuja job, hata parking sio issue

I'm glad that you undestand
 
Back
Top Bottom