Asanten wote kwa Dua zenu mzee anaendelea vizuri japo juzi hali yake ilichange bp ilishuka na kufika 90 kwa 60 akapoteza kauli mpaka leo hii madaktari wamejitahidi kwa uwezo wao maombi na dua zenu pia zimesaidia sema leo bp yake imepanda na kufika 160 hana kauli Much respect to TANGA WING.. Dark City Babu DC, Mwanyasi, YNNAH, KOKUTONA, Arabela ladyfurahia, Lady doctor, Candy kisses Washawasha, Ladymasa Na wewe niliyekusahau asanten sana.

Mungu wa manyani ndio Mungu wetu.Tunazidi kumuweka kwenye maombi yetu. Mungu ni mwema atamponya.
Tupo pamoja
Asanten wote kwa Dua zenu mzee anaendelea vizuri japo juzi hali yake ilichange bp ilishuka na kufika 90 kwa 60 akapoteza kauli mpaka leo hii madaktari wamejitahidi kwa uwezo wao maombi na dua zenu pia zimesaidia sema leo bp yake imepanda na kufika 160 hana kauli Much respect to TANGA WING.. Dark City Babu DC, Mwanyasi, YNNAH, KOKUTONA, Arabela ladyfurahia, Lady doctor, Candy kisses Washawasha, Ladymasa Na wewe niliyekusahau asanten sana.
Mungu huyu huyu aliyewaumba nyani ndiye aliyetuumba sisi,kwahiyo tujitahidini kumwomba.Sijakusoma
Tupo nawe katika maombi kaka, baba atapona usijali mpendwa. Pole kwa kuuguza.Asanten wote kwa Dua zenu mzee anaendelea vizuri japo juzi hali yake ilichange bp ilishuka na kufika 90 kwa 60 akapoteza kauli mpaka leo hii madaktari wamejitahidi kwa uwezo wao maombi na dua zenu pia zimesaidia sema leo bp yake imepanda na kufika 160 hana kauli Much respect to TANGA WING.. Dark City Babu DC, Mwanyasi, YNNAH, KOKUTONA, Arabela ladyfurahia, Lady doctor, Candy kisses Washawasha, Ladymasa Na wewe niliyekusahau asanten sana.
Mzee kafariki leo saa tisa kasoro usiku, Msiba utakua makorola. R.I.P mzee Saleh.
Innah lillah wa innah lillah rajuh

Inna lillah wainna ilayhi rajiun...pole sana mpendwaMzee kafariki leo saa tisa kasoro usiku, Msiba utakua makorola. R.I.P mzee Saleh.
Innah lillah wa innah lillah rajuh
Pole sana mkuu,
Nimesikitika sana kwani toka tulipomwona nilihisi kama alikuwa anaendelea vizuri....
Tuko pamoja na wewe. Tutakuja kukusalimia na kuwapa pole wafiwa....
RIP Baba yetu mpendwa..!
cc: CHUAKACHARA, Mwanyasi, KOKUTONA, YNNAH, Arabela...
Babu DC!!