Tanga wing mpo?

Pole kwa kuuguza hope waTanga mjini watakukirimu mie nipo wilayani huku!pole kwa baba
 
Pole sana uko pande zip kesho nije? mi tanga yangu hii
 
Pole sana kwa kuuguliwa,M/mungu atamuafua.
Nalog off
 
Habari wana cc.

Nimekuja ghafla Mkoan Tanga nauguliwa na mzee wangu kalazwa hospitali ya bombo..

Naomba kukaribishwa

Ahsante sana kwa taarifa na pole sana kwa kuuguliwa.

Tunaomba taarifa zaidi ili tukamsalimie mgonjwa...

Babu DC!!
 
Sorry for late reply
Mgonjwa yupo wodi namba tisa amepatwa na stroke.
 
Ahsante sana kwa taarifa na pole sana kwa kuuguliwa.

Tunaomba taarifa zaidi ili tukamsalimie mgonjwa...

Babu DC!!

Asante sana babu DC tushapoa mzee kalazwa wodi namba tisa kitanda namba 14 alipatwa na stroke siku ya jtatu. Ila kidogo anaendelea vizuri. My namba 0653701050 na 0688736727
 
Asante sana babu DC tushapoa mzee kalazwa wodi namba tisa kitanda namba 14 alipatwa na stroke siku ya jtatu. Ila kidogo anaendelea vizuri. My namba 0653701050 na 0688736727

Pamoja! niliku pm, ni vema umeweka mawasiliano hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…