Bora umemuumbua. Kazi kukalia majungu, umbea na Uongo tu kama mtaji wa kisiasa.
Bora umemuumbua. Kazi kukalia majungu, umbea na Uongo tu kama mtaji wa kisiasa.
Ninayojionea Tanga aisee huu mkoa Una watu wapumbavu na wajinga sijawahi kuona! Wapumbavu na wasiletewe tu kwa upumbavu wao wa kuikumbatia CcmCCM ina tabia ya kupeleka miradi mikubwa pale ambako wanakataliwa au Kuna dalili ya kukataliwa. Tanga na wilaya zake ni chimbo la CCM kwa karne na karne, hawana hofu ya kukataliwa hivyo hawapeleki miradi ya maana Tanga.
Tanga hakuna mradi hata mmoja wa umwagiliaji ingawa Kuna wakulima wengi. Tangu hasa kule Handeni ndivyo wilaya ambayo hakuna maji hakuna mito Wala mabwawa lakini CCM haipeleki maji ya mabwawa, bomba Wala kuchimba visima. Kata hazina vituo vya afya kama sera yao inavyosema, kata hazina vituo vya polisi Wala mahakama, hakuna shule za wasichana za bweni kama mikoa na wilaya nyingine; hakuna mradi wa maana Tanga na wilaya zake zote.
Tanga Tanga Tanga kunani? Tanga Wana kasoro gani kwenye kufikiria? au ni kwasababu ya kula sana viporo vya ugali wa mahindi?
Umesema ukweli mkubwa sanaaa TANGA imejaa watu wapumbavu sanaaa na Tanga ukiwa huna hata ubongo unaweza kuwaongoza wakishashiba mihogo ni vibarazani kimnyaaa,Kwa
Ninayojionea Tanga aisee huu mkoa Una watu wapumbavu na wajinga sijawahi kuona! Wapumbavu na wasiletewe tu kwa upumbavu wao wa kuikumbatia Ccm
Kule bumbuli kuwa tu mwana ccm ni sifa kuu.Mimi ni mkaazi wa Tanga(muhamiaji kutoka Ngorongoro). Kuna siku tulikuwa kwenye mkutano wa hadhara wa Kijiji. Mwenyekiti, mtendaji na diwani wakawa wanasema CCM hoyee..! Muda wa maswali ulipofika nikauliza "huu ni mkutano wa hadhara au wa chama?, mbona Kila kiongozi anayesimama anasema CCM hoyee?" Mtendaji akaniambia alikuwa rafiki yangu akaniita akaninong'oneza, "kijana kaa kimya utapotezwa". Nilishtuka sana
Mtu anakuja kijijini kwetu mashewa halafu mgombea aniambie serikali imejenga reli ya SGR nitampuuza hapohapo maana huku kwetu hiyo reli itamsaidia nani kwenda wapi kufanya nini. Nataka kusia hapa mashwea tumeleta maji, tumejenga VETA, nkNi kawaidi, hata kwenye mkoa wetu wa Njombe hakuna mradi hata mmoja.
Mkoa mzima ni CCM, angalia maendeleo yao sasa. Lushoto - Mlalo vumbi tupu na barabara ipo tangu mkoloni. Kutoka Kwedikwazu-Mzundu-kwamwenda-kwamsundi-kwankonje- kimbindu hadi Magamba ni vumbi tupu (barabara ya kiangazi TU). Kwachaga -kwankoje -kwamkunga-kwamsangazi hadi kwamkono vumbi TU. Maji hakuna wilaya yote. Elimu yao ni kama hakuna.Hiyo bara bara tu ya Tanga mjini mahandaki yana afadhali kabisaa angalia bara bara ya nne hovyo kabisa, nenda panaitwa sijui mabanda papa mpaka Pangani road yote ile kuna nini pale ? Inatia kinyaa kabisa shida ya Tanga Elimu, Elimu ya kujitambua na elimu dunia ndogo sana umwinyi na kuridhika imetawala kabisa
Unajua maana ya vicious cycle wewe? Kama idadi kubwa ya watoto wanaosoma shule hizi za kata wanafeli inasababidha kitu inaitwa negative feedback. Watoto na wazazi wanaona ni kupoteza hela zao kwa watoto wanaofeli for almost 89%. Hakuna walimu, hakuna maabara, hakuna umeme, hakuna chakula, hakuna bweni, hakuna usafiri na hakuna library Wala maji, hizo ni shule gani? Hata mtoto wa diwani hasomi shule hizi sembuse mkuu wa wilaya?Tuna kazi katika safari hii ya maendeleo
Haya nenda Kawa swage ndugu zako walio faulu kidato cha kwanza ili waende shule, wengi wamegoma kwenda shule (kuonja keki ya taifa kama unavyoita mwenye maarifa mapana)
Wanajengewa shule na hawataki kwenda shule
Mzee makamba, Mzee shekifu, Mzee Mdsomo, Mzee kigoda, Mzee kigoda, Mwapachu, kitandula nk wamewahadaa watanga wakawa mazuzu. Handeni hakuna hata tone Moja la maji lakini wanaimba hiyenahiyena miaka yote tangu Uhuru.Kwa
Ninayojionea Tanga aisee huu mkoa Una watu wapumbavu na wajinga sijawahi kuona! Wapumbavu na wasiletewe tu kwa upumbavu wao wa kuikumbatia Ccm