Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,590
- 28,761
Unyanyasaji wa kijinsia huo
Hiko chakula hapo mgongoni aliweka nani?? Ingekua hivyo ndoa za mitala zisingekua nyingi huko tangahaha...ndio maana watu wakienda huko kurudi majaaliwa, maana warembo wa kwenye miji mikubwa ndio kama hivyo, mnajionea mnanyanyaswa tuu kila kitu
wenzenu hapo Tanga mwanaume mzimaaa, unakuta analia kama mtoto....maana alishajizoelea mjini anapangiwa masharti tuu, alafu anapimiwa kidogooo....kwanini asiuze shamba sasa
Hiko chakula hapo mgongoni aliweka nani?? Ingekua hivyo ndoa za mitala zisingekua nyingi huko tanga
Mtu hani inamishi mgongo hivyo na mahotpot. Mahaba kwangu sio kubeba hotspots mgongoni kama mtumwahaha...ndoa hua inaondoa mahaba, tanga ni kazi tuu,....mambo ya ndoa,katiba. sijui sheria na taratibu unaviachia ubungo huko!
hahahahaha....hata ukiahidiwa fungu nono?Mtu hani inamishi mgongo hivyo na mahotpot. Mahaba kwangu sio kubeba hotspots mgongoni kama mtumwa
Ndio unafki unapoanzia hapo. Kujifanya una mahaba tele kumbe kuna funguhahahahaha....hata ukiahidiwa fungu nono?
Ndio unafki unapoanzia hapo. Kujifanya una mahaba tele kumbe kuna fungu
Hao tunawaita wadangaji. Mtu mpende for who he/she is kuna leo na kesho.ki msingi sidhani kama kuna mrembo siku hizi anayekua kwenye mahusiano na mtu kwasababu ana "feelings" tuu ikaishia hapo...lazima somehow somewhere kuna mahitaji yako yanayotimizwa ki fedha....ndio yana stimulate feelings...point yangu ikiwa...at the end, it is always about ze money
hii kitu ipo kweli? ya mwanamume wa tanzania hii hii ..akapendwa tuu, kwa alivyo , yeye pamoja na suruali yake bila other strings, attached?? maana jamii yenyewe tuu itakupa jina bayaHao tunawaita wadangaji. Mtu mpende for who he/she is kuna leo na kesho.
ππππ duuh aisee
Ukishajiwekea kukataliwa nani atakukubali? Usikilize ya watu kwani umeekewa gundi? Roho ya kujidharau ikitoka hata mengine yanafunguka tuhii kitu ipo kweli? ya mwanamume wa tanzania hii hii ..akapendwa tuu, kwa alivyo , yeye pamoja na suruali yake bila other strings, attached?? maana jamii yenyewe tuu itakupa jina baya