Kusuasua malipo kwa SUMA JKT bandari ya Tanga

0036 savage

Senior Member
Apr 30, 2019
190
237
Kumekuwa na shida katika malipo kwa kipindi kirefu katika Bandari ya Tanga ni kama hao SUMA wanaamua ni lini walipe wafanyakazi wa kutwa wanalipa siku watakayojisikia wao wanatesa sana vibarua, Watu wanateseka bandari ya Tanga kwasababu ya SUMA JKT haiwalipi pesa zao kwa wakati.
 
Asante sana watu wanateseka sana watu wanaishi kwa mikopo kila ukipata pesa unalipa tu maden akuna cha maana tunachokifanya ni hii pesa
 
Kumekuwa na shida katika malipo kwa kipindi kirefu katika Bandari ya Tanga ni kama hao SUMA wanaamua ni lini walipe wafanyakazi wa kutwa wanalipa siku watakayojisikia wao wanatesa sana vibarua, Watu wanateseka bandari ya Tanga kwasababu ya SUMA JKT haiwalipi pesa zao kwa wakati.
Poleni mkuu

Hao vibarua wanafanya kazi mkuu
 
Back
Top Bottom