Tanga mpooooo?

I see, vizuri sana wapo wapi hawa ndugu zangu Sharif na Fatma? , nilisoma nao pale Boma Primary School.

Mkuu Sharifu alioga kisha akanya Ruvu kwahiyo hawezi kwenda popote yupo tu Korogwe, Malau pia amerudi baada ya kuhangaika sana kimaisha na mimi nilikuwa huko 2006 lakini nimerudi town napigana kimaisha si unajua tena!
 
Hahaha du mzee umenichekesha, manake na mimi nilioga ila sikunya.inshallah nina safari ya Arusha nitapita Korogwe kama kwa two days nitafute washikaji zangu wote bwana, nimekumbuka mbali sana!
 
Pole sana mkuu najua unamiss maji ya kuoga yaliyotiwa hiliki na karafuu hasahasa kisosi cha chai lol. Usijali nipm namba yake au nitamuuliza Saida Gadafi atakuwa anamjua maana yeye ni mwenyeji na somo mzuri wa wanawake na anawajua wote waliokulia chumbageni labda awe alikulia kirare ndio hatamjua
 
Hahaha du mzee umenichekesha, manake na mimi nilioga ila sikunya.inshallah nina safari ya Arusha nitapita Korogwe kama kwa two days nitafute washikaji zangu wote bwana, nimekumbuka mbali sana!

Nimekukumbusha enzi za BS na nyota nyekundu wakati huo brother wangu. Said Nyanyu! Tena nadhani nishuke segera nikalale Korogwe kesho asubuhi niende Tanga. Ukionana na Sharif mwambie ndugu yako Mohammed au a.k.a Shossi mzungu nipo nae kwenye jamvi!
 
Kabisa mkuu BS ndio ilikuwa mwisho wa mambo!Maisha bwana!
 
Kabisa mkuu BS ndio ilikuwa mwisho wa mambo!Maisha bwana!

Sasa hivi mji umekuwa na starehe zimekuwa nyingi kuna club mpya ya mhe Ngonyani a.k.a Prof Mjimarefu inaitwa Mamba club. Tofauti ya sasa na zamani ule ugonjwa ulikuwa hakuna kaka ila sasa hivi ni nouma. Karibu sana nyumbani si unajua nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani?
 
wasalimie wote, waambie kuwa tunawapenda sana..eti?
 
Mgosi acha mambo yako wewe nenda kaandae mazingira ya ndoa tu, nisalimie Ally pamba barabara ya nane Dogo mmoja ana duka la nguo za kijanja sana. Homeboy.
 
Shemu aisee wewe ni kiboko... madrid wapo katikati ya barabara ya 3 na ya 4, kuna mgahawa unaitwa Tawakal jioni jioni utawakuta pale, wameshine na kung'aaa......!!! nyinda ndo sehemu ya kubwaksi then maeneo ya La vida roca afu unamalizia Club La casa Chika!!!!!
 
uchawi na nguvu za giza ndiyo kwenyewe. nitatua korogwe usiku na ungo wangu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…