Tanga; Mkoa uliokufa

Yaani we acha. Ukitoka junction ya Mabanda ya papa kuelekea Makorora via chuo cha Zahrauh, kuanzia saa 9 kwenda mbele, watu watandaza mikeka nje na kupunga upepo. Uvivu!
Haya kwenu mnatandaza nin? Huko kwenu upepo ni harufu ya mavi ya ng'ombe na nguruwe huo muda wakupana pua si utakufa.

Yaani hapo kazi imeisha na watu wanatoa stress na kuchangamsha ubongo. Hakuna kuviziana na mapanga wala mishale.
 
Manake ulikuwa na yale mawazo ya bara ukimuomba mtu maji lazima ukayapime kwa mkemia mkuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hiyo ndio tanga bwana. Karibu tena
 
Tena kuhusu stand ya Kange ndo Aibu tupu... stand ipo porin kiasa ya kwamba ikifika saa kum na mbili Jioni Hakuna Basi linaloingia ktuoni na mabasi yote kutumia stand ya zamani.....
Waliileta kisiasa tu. Kwa mkoa sa tanga ulivyo kigeografia ni masaa machache sana bus za mikoani zinaingia stend. Hakukua na haja yakuiondoa stend pale. Wamekwama na mipango yao yakufuja pesa.
 
Mgosi taratibu basii
Unaposema mbolea zinapelekwa bara kila siku ,ina maana Tanga ni kisiwa?
 
Haa kuumbe wapo nyuma kiuchumi wakati uchumi wanao,nasikia tanga ndio mapenzi yalizaliwa huko,sasa huo ufundi wao badala wautumie kuteka wafanyabiashara wakubwa wakubwa wenyewe wanadaka vidagaa vidogo visivyo na hela aisee
Hivyo vidagaa vidogovidogo ndivyo ambavyo vina muda wakushinda ndani vinafanya mapenzi,huwezi ukakuta tajiri anaendekeza ngono hovyohovyo.
 
Let's say nafungua Biashara... hv watu wanaoshinda wakicheza Draft na karata huku wanashushia na Kahawa do they have the economy power....?
Biashara gani kwa mfano? Sasa unataka uuze bia nani atanunua? Nenda ngamiani, mgandini. Nenda kuanzia brbr 12 uone maduka ya nguo na vyombo. Biashara gani unataka kufanya nikusaidie mawazo?
 
Mleta mada amekwenda kusoma kenya labda kwa pesa za jiji. Aje aibe akajenge kwao
 
Mkurugenzi wa Jiji anatakiwa apitishe sheria ya kutokuruhusu makuti ndani ya Jiji, na kama mtu hana uwezo wa kujenga auze kiwanja akatafute pembezoni

 
Mgosi taratibu basii
Unaposema mbolea zinapelekwa bara kila siku ,ina maana Tanga ni kisiwa?
Hakuna siku mbolea ya ruzuku imeletwa tanga hata siku moja. Mm tangu ni zaliwe sijawahi kuona hata veterinary officer acha kijiji hata wa kata hakuna. Nenda bara huko wamejazana kila kona mpaka kwenywe vitongoji.

Njaa ikija mwaitembeza kutwa
 
Hakuna siku mbolea ya ruzuku imeletwa tanga hata siku moja. Mm tangu ni zaliwe sijawahi kuona hata veterinary officer acha kijiji hata wa kata hakuna. Nenda bara huko wamejazana kila kona mpaka kwenywe vitongoji.

Njaa ikija mwaitembeza kutwa
Jibu swali Mgosii
Wadai mbolea yenda bara tuu, ina maana Tanga ni kisiwani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…