Tanga; Mkoa uliokufa

Nmezaliwa tanga nmesomea huko na mpaka leo wazaz wng wako tanga lkn kiukweli ni kwamba ukiwa tanga huwez kuona kama ule mkoa umedoda mpaka utoke uende sehem zilizochangamka then ukirud tanga ndio utaona namna gan ule mkoa ulivyodorora...
.
Hata wanaotetea hawaon kama tanga ipo nyuma kimaendeleo labda mpaka nawao watoke kidogo wakajichanganye sehem nyngne ndio wataelewa namna ambavyo tanga yetu inaretarded growth
 
Hawa Wanaropoka ropoka.... Sasa hebu tumuulize mtoa mada ameona Tanga hapo... Wacheni mambo ya kibwege asubuhi asubuhi.
 
Hebu angalia data.... Huko Nairobi ulienda kusoma mm?
 
Wiki ijayo nitakua hapo. Nimechoka kuadithiwa kuhusu huo mkoa haswa lile suala la vyumbani.
 
Tanga imekua kiuchumi si km miaka ya 99, mji umetanuka, majengo mapya kukicha yanaongezeka, fursa za ajira zimeongezeka ingawa rate yake ipo slow . Hizo nyumba za makuti no nyumba za tamaduni enzi zile so chakuzingatia Tanga ni mji wa kale sana kulinganisha na mikoa mingine that's why Kuna miono flani ya majengo tofauti na maeneo mengine ya Tz.
 
Tanga tumekaa sana

Watu wa tanga akili zao zote zinawaza dar na Arusha Pmj na kuwa Kuna ardhi nzuri ya kilimo

Tanga vijana wanaishi km wazee wanashinda kwenye kahawa
Mabint wakitanga wanavunga ni waarabu hawatak kujishughulisha,

Ila raha ya Tanga, Kuna samak I watamu sana

Na Mabint hawajui kukataa
 
Huko kange wamejenga wagen, hamna mswahili uko

 

Yetu yote mkuu I have my property there of wch the value goes decline as days goes on compare kwa majiji mengine
 
Sababu umekaa Nairobi kwa miaka yote hiyo huenda ki- saikolojia ulitegemea kuikuta Tanga ikiwa na viwango sawa na Nairobi. Lakini endapo ungekuwa mhalisia, hali ya kimaendeleo ktk jiji la Tanga ni tofauti sana kuanzia miaka hiyo ya 1999 mpaka leo. Wengine humu wanachangia kwa mzaha eti hata kuilinganisha Tanga na Iringa au Dodoma, Ok, kwanza tunapaswa kujua kuwa Tanga ndio mji wa kwanza nchini kupata hadhi ya Municipal baada ya Dar, mji huu ndio unaomiliki bandari ya pili kwa ukubwa yenye world wide linkage hapa nchini, ktk jiji hili kuna viwanda vya saruji viwili Rhino na Tanga cement ambacho ni moja kati viwanda competent ktk Afrka mashariki, jiji la Tanga linamiliki viwanda zaidi ya vitatu vya chokaa vikubwa hapa nchini, hapa jijini Tanga kuna kiwanda mashuhuri nchini cha kuchakata maziwa Tanga Fresh na vilevile kiwanda cha packages na vyakula cha Pembe,PPTL, na IPTL Kiwanda kikubwa cha Vipodozi ambavyo vina supply products zake nchi nzima sasa hapa nimekutajia large scale Industries na sijagusia medium scale na utitiri ktk small scale, vyote vinachangia uchumi wa jiji na pato la Taifa. Potentially ktk jiji hili kunajengwa bandari nyingine kubwa Mwambani ambayo Itakuwa ACCESS mbadala ya bandari ya Dar kwa Uganda. Nihitimishe kwa kuwakumbisha wale waliothubutu kilinganisha Tanga na Iringa kuwa kuna mmoja kati ya miradi mikubwa sana wa Pipeline toka Uganda ambao ume- attract attention ya wachumi kimataifa ukikamilika Tanga itakuwa moja kati ya vyungu vikuu vya uchumi wa Taifa. Ok, come out of the nutshell and urge as great thinker If you are a really One.
 
hivi tofauti na bus stand na kile chuo cha utumishi Kange kuna nini kingine
Jiulize kama we ni mwenyeji miaka 18 nyuma Kange palikuwaje? Nhumu. Sana kuendeleza seheemu iliyo endelea tayali. Jiji la Tanga Lima tanuka sana.Hari ya kiuchumi ya mkoa ndo tatizo
 
Mueleze huyoo [emoji108]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…