dangadunguri
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,276
- 1,310
Tanga sio mkoa wakutafuta pesa, ni mkoa wa matanuzi na mapochopocho. Hushangai hoteli zakitalii kujengwa kwa makuti unashangaa kikuta nyumba za makuti barabara 20. Huko Kenya ulienda kusomea kujenga magorofa.Wana great thinkers nimekuja mkoa wa tanga baada ya miaka 18 yaaani niliondoka mkoa huu mwaka 1999 kwenda masomoni Nairobi....
Tanga ni mkoa ambao sio ya kwamba umekufa Bali unazidi kudidimia na kupotea kabisa...Hakuna jitihada zozote nilizozisikia kwenye wimbo wa wagosi wa kaya wakimsifia Captain Mkuchika...
Tanga ni jij pekee ambalo unakuta nyumba ya makuti katikati ya jiji( barabara ya ishirini)
.....
Ulitaka wafanyeje?wenyeji ni wavivu mno
Ulitaka wafanyeje? Kuna watu kwenye nchi hii usipolima au kifuga ng'ombe wewe hifanyi kazi. Mtihani mkubwa huuwenyeji ni wavivu mno
Labda umekufa wewe.... Tatizo wewe TANGA huijui umefika barabara 20 ukaona umefika Tanga... Hebu fika Kange ujue kama Tanga imekufa au ulokufa ni wewe? Unaamka asubuhi unaleta mada za kibwege.Wana great thinkers nimekuja mkoa wa tanga baada ya miaka 18 yaaani niliondoka mkoa huu mwaka 1999 kwenda masomoni Nairobi....
Tanga ni mkoa ambao sio ya kwamba umekufa Bali unazidi kudidimia na kupotea kabisa...Hakuna jitihada zozote nilizozisikia kwenye wimbo wa wagosi wa kaya wakimsifia Captain Mkuchika...
Tanga ni jij pekee ambalo unakuta nyumba ya makuti katikati ya jiji( barabara ya ishirini)
.....
Licha ya kukua kwa pato la wastani kwa watanzania serikali imeainisha mikoa mitano inayoongoza kukithiri kwa umaskini nchini.Haa kuumbe wapo nyuma kiuchumi wakati uchumi wanao,nasikia tanga ndio mapenzi yalizaliwa huko,sasa huo ufundi wao badala wautumie kuteka wafanyabiashara wakubwa wakubwa wenyewe wanadaka vidagaa vidogo visivyo na hela aisee
Tanga wala haina haja ya viwanda wala bombadia. Wala hutasikia watu wala viwavi jeshi kwa njaa labda maeneo machache sana na huko matunda kibaoooo. Maghala ya chakula cha njaa kwa hapa tz yako huko watu wanakolima usiku na mchana.Jamaa wanadai kwa nini MAGU ( DEREVA WA LORI) anataka kujenga vi-wonder Dodoma wakati alipokuja Tangamano aliwapa ahadi ya kufufua viwanda vifuatavyo
Kiwanda cha sabuni ya Mbuni
Matunda toka LUSHOTO
Mashamba ya Mkonge
Nk.......?
Mji wa amani mnataka kutuletea balaa tu. Ukipita barabarani vitafunwa teleee, bagia, maandazi, kaimati, vibibi, mikate ya kumimina, kachori. Alafu useme watu wake masikini, duuuu huu ni ujinga sasa.Relax. Tanga ni utamaduni wa makuti. Thats why kule sahare na kwanjeka ni majirani lakn the difference is clear. Kwanjeka ni cultural na sahare ni modern but b4 zilikuwa sawa na wanaoishi share sio watanga ni immigrants wenye tanga beach resort nk... kwa hiyo pin it up.
Hakuna shida hiyo miji ikue tu ndivyo tunavyotaka. Mkawasombe wale ndugi zenu ombaomba matonya wa dsm mkawaweke kwenye magorofa.Acha kutetea upuuzii..mkoa wenu unazid kudidimia wakat kuna mikoa Kama...... Iringa.. singida... morogoro....NK.... wadigo.. wabondei... Tanga sio jiji CCM wamewadanganya Sana Kimapato Tanga mnazidiwa na Mafinga....
Zaidi ya chakula hakuna kingine dada. Jifungie kwenye kiyoyozi na hujala siku tatu tuone kama hujafa. Kwahiyo hao wanatafuta chakula wana lala stendi?Wenyeji hawajachangamka kibiashara ni wavivu sana wakipata chakula bas hawawaz maendeleo bt tanga ni mkoa uliojaliwa bas tu hawatumii fursa
Sifa kubwa ni population kubwa na sio majengoHivi ilikuwaje Tanga ikapewa hadhi ya Jiji..!!?
Mlitaka muone madanguro ya magorofa kila kona. Madisko kila mtaa. Nyama ya nguruwe kila uchochoro. Au mnataka baa kila nyumba. Maendeleo gani mnayoyataka?Kweli kaka... Tanga ilikuwepo kabla ya uhuru lakini leo hii wakaz wao wanaish Kama vile Tanga ni almashauri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Problem ya Tanga ukiweka bati wanakupiga zongo eti unawazidi...[emoji23] unajikuta unageuka kuwa paka kisa bati! Who wants that
Bahari ya hindi...Sifa kubwa ni population kubwa na sio majengo
Tanga ni mji wa matumizi. Viwanda vyote mliviua sasa mnataje? Viongozi wenu wanajua shughuli mbili tu kulima na kufuga. Ushawahi sikia pembejeo za uvuvi? Wao hawajui uvuvi pia nikazi maadamu wao wamekulia kwenye mavi ya ng'ombe basi pesa zote zinanunuliwa pembejeo za kilimo.Tanga pa kuoa tu sio pa maendeleo.waja Leo warudi Leo.sio pa kuishi yahe
hivi tofauti na bus stand na kile chuo cha utumishi Kange kuna nini kingineBut mji unahamia Kange mjomba
We unashangaa kukuta nyumba ya makuti barabara ya ishirini,mbona kariakoo maeneo ya karibu na club ya Yanga kuna nyumba za udongo nyingi tu?Wana great thinkers nimekuja mkoa wa tanga baada ya miaka 18 yaaani niliondoka mkoa huu mwaka 1999 kwenda masomoni Nairobi....
Tanga ni mkoa ambao sio ya kwamba umekufa Bali unazidi kudidimia na kupotea kabisa...Hakuna jitihada zozote nilizozisikia kwenye wimbo wa wagosi wa kaya wakimsifia Captain Mkuchika...
Tanga ni jij pekee ambalo unakuta nyumba ya makuti katikati ya jiji( barabara ya ishirini)
.....