Tanga miaka ya themanini lazima ulowee

[emoji3][emoji3]duuh mchaga wa watu akaachwa na ndoa ikingali mbichi.
 
Tuna week sasa hapa nyumbani. Ugomvi wa kifamilia dogo kamaliza masomo yake tanga lakini amegoma kurudi.. Anadai atafutiwe kazi au biashara yoyote. Yeye ameamua kufanya maisha yake yote tanga.
Aah tayari kanakwisha huyoo ashakamatwa na mwanapwani
 
Tanga Tanga jamani Tanga na Watanga, Watangaaaa!!!
 
Tanga kika nyumba ina mganga..vidume vinatekwa kwa ndumba vinasifia kweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…