Tanga mapenzi yalikozaliwa


kwi kwi kwi kwi kwi kwi umenchekesha sana nna kisa kimoja kilimtokea jamaa yangu tanga ni noma
 
kuna mzee alikua anatoka bara huko anapeleka mchele tanga alikua na mtaji kama wa milioni kumi hivi da alivyofika kule akaibua shangingi bwana akamfilisi pesa zote saizi mzee ni choka mbaya
 

Hahahaaa, jamani!
 
Hahahaaa, jamani!

sasa dada nifah, jibaba kama hilo kuenea kwenye beseni kama hilo unadhani ni mchezo? alafu inaonekana sio siku yake ya kwanza kuingia humo, maana kajipanga vizuri kwa raha zake
 
Last edited by a moderator:
Rangi ya haya maji... meupeee! bila shaka yameungwa haya... Halafu huyo anaeogeshwa anafanana na mwenyekiti wa chama fulani cha upinzani... sijui ndie!

....... yupi huyo?
 
Inaelekea hayo maji yanavyoonekana rangi yake, yatakuwa 'yameungwa' na tui la nazi!

Jamaa atakapokuwa ametolewa hapo kwenye beseni, huku akiwa amebebwa mgongoni na hilo limama, atakuwa 'keshashiba' hilo penzi la kitanga!

cc; Mamaafacebook

hiyo ndio tanga!
 

hahahahahaa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…